Kujua unakoenda sio vibaya
Pesa nyingi sana 1.5- 1.8 m ambayo ndo daraja LA mwisho kabisa. Ukipanda haupandi tn
Jaman anayejua mishahara ya Ranchi ya taifa hivi NOSS 4 ni Bei gani na NGSS 6 ni kiasi gani?? Takaka kujua Basic salary na take omu yake baada ya makato yote....Msaada tafadharihellow
SijapataUlipata majibu, pengine hata inbox? Na mm ningependa kujua
TGSD ni kiasi gani mkuu?
Tiss nao vp upande wa mishahara.....nasikia wanalamba parefu...
Tanroads scale 1.7 ni sh ngapi!?msaada plz
Bro ni mwl wa msingi mwenye cheti basic salary ni 429000 ww hiyo 244400 umeitoa wapHEBU TIZAMA TOFAUTISHA YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA MIPYA
KWA WATUMISHI WA UMMA TANZANIA:
Ngazi ya Cheti:
Mwalimu 244, 400/
Afya 472,000/
Kilimo/Mifugo 959,400/
Sheria 630,000/
Ngazi ya Diplomma
Mwalimu 325,700/
Afya 682,000/
Kilimo/Mifugo 1,133,600/
Sheria 871,500/
Ngazi ya degree
Mwalimu 469,200/
Afya 802,200/
Kilimo/Mifugo 1,534,000/
Sheria 1,166,000/
angakia hapo penye italics na bold
Ukijibiwa nishtue hii
Ujanja ujanjaa tu. Si ndio maana wanaita Bongo!mishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?
Mzee umeshakula shavuuuBRS nayo iko je?