Natafuta soko la Aluminium foil za jumla (foil za kufungia chips, nyama etc)

Foil bora kabisa kwa matumizi ya jikoni.
Zina ujazo wa mita 61.93.
Tupo TMDA ubungo external.
0696101524
Unatengenezaje mkuu.?
Mimi naomba mafunzo..kutengeneza, malighafi zinazotumika pamoja na mashine.
 
Back
Top Bottom