Natafuta mganga wa kienyeji konki
Tanga huko ni kama unataka shemeji yetu atulie ndani ila kwa mengine hakuna kitu. Hebu Njoo PM bageshi wala usihangaike. Yupo kikongwe anaitwa Mīja na mzee mmoja anajulikana kama Ng'wanikanga ni mwisho wa maneno. Wapo kijiji kimoja kinaitwa Būbale (a.k.a Gamboshi mpya) huko Ntuzu. Yaani ishu yako inaisha hapo hapo unaangalia kwenye kioo au sinia la maji utafikiri umesabuskraibu kwenye kisimbuzi cha DSTV Premium. Sema kipindi hiki cha uchaguzi watakuwa bize sana na watia nia wanapiga mamilioni deile. Liyagamba lya Ng'walūgiko hebu njoo utie neno hapa ili tumsaidie huyu bageshi wetu 😂 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3376330
Mkuu Shimba ya Buyenze kama unashida ya haraka kuna ubaya wa kwenda sahivi
 
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.

Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.

Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Nenda Kwamsisi maeneo ya Mkata.
 
ndo maana nimeelezea na kabisa , kazi huwa nikulingana na unachotaka , kile utakacho kule utakipata , akikupenda akuingize kwa hilo pori lake utaona dunia nyingine na mambo ambayo nikielezea hapa utaona kama chai vile , ila sharti kuu mtakacho kubaliana usikiuke hata nukta
Duh
 
Tanga huko ni kama unataka shemeji yetu atulie ndani ila kwa mengine hakuna kitu. Hebu Njoo PM bageshi wala usihangaike. Yupo kikongwe anaitwa Mīja na mzee mmoja anajulikana kama Ng'wanikanga ni mwisho wa maneno. Wapo kijiji kimoja kinaitwa Būbale (a.k.a Gamboshi mpya) huko Ntuzu. Yaani ishu yako inaisha hapo hapo unaangalia kwenye kioo au sinia la maji utafikiri umesabuskraibu kwenye kisimbuzi cha DSTV Premium. Sema kipindi hiki cha uchaguzi watakuwa bize sana na watia nia wanapiga mamilioni deile. Liyagamba lya Ng'walūgiko hebu njoo utie neno hapa ili tumsaidie huyu bageshi wetu 😂 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3376330
Lete address boss bubale ni wapi
 
nimejaribu nimeshindwa. kaondoka na mtoto wangu mdogo, hata nikipata mganga wa kunifanya nisahau pia ni sawa
Muda ndio dawa, huwezi kufosi kusahau.Atakuja kukutafuta mwenyewe tu,kumbuka mtoto hawezi kuteseka kwa mama yake.

Sikushauri tu kwa sababu naona unateseka .Nishapitia hiyo hali ,miaka mitatu baadaye nikatafutwa na sikua na kinyongo wala mnuno. Mtoto ninaye,mama yake anateseka tu huko aliko.

Mtu akiondoka kibabe na kwa dharau kwenye mahusiano(ndoa) ipo siku atarudi tu kuomba msamaha. Ukimkomalia uta dharirika,kila la heri.
 
Ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom