Natafuta mganga wa kienyeji konki
Asalaam Aleykum...

Kumekua sana na mada ama wimbi la watu wanaotafuta mafanikio ama utajiri kupitia waganga.

Lakini pamoja na yote sekta hio imegubikwa na utapeli mwingi kuliko kawaida na ubabaishaji mwingi usio na kifani, achilia mbali USIRI mkubwa sana wa jambo lenyewe.

Baada ya kufikiria kwa mda sana na kusoma na kusikia sana nimekuja kupata ufahamu wa yafuatayo,

Chukulia mfano wewe unayetafuta utajiri huo asili yako ni mmakonde, na kama una mizimu ya kimakonde, unaenda kutafuta utajiri kwa mtaalam mwenye mizimu ya kinyaturu, hapo jiulize swali je itawezekana kweli kwamba mizimu yako ya asili yako watakubali kwamba wakuachie alimradi umekubali mwenyewe bila kulazimishwa kua upate huo utajiri kupitia mizimu ya asili nyingine?

Pia wajuvi watanisaidia hapa, je kila mtu ana mizimu ya asili anahyotoka automatically anapozaliwa au sio kila mtu ana uwezo wa kua na mizimu , yan umezaliwa hauna mizimu ya kwenu ila pengine unafanya Ibada zao, au umezaliwa lakini mizimu imeambatana na wewe...inakuaje hapo? Wajuvi watanisaidia hapa

Tukirudi kwenye mada kuu, baada ya kujiuliza kua asili ya tofaut ya kwako na ya mtaalam unayeenda kupata utajiri je itawezesha wewe kufanikisha jambo LAKO? Vipi ukisema kama wewe ni mmakonde ukatafute mafanikio ya kiuchumi kupitia waganga wa asili yako...Yani wamakonde ..

Nimeonelea hivyo baada ya kuona watu wengi wakitapeliwa na matapeli waganga wanatapeli kweli watu wasio na ufahamu wa undani wa haya mambo, hivyo mpambanaji embu tafakari na ufanye maamuzi sahihi

Kwa wale pengine wasiotaka kujihusisha na mizimu, wanaitaji labda utajiri wa kuwatumia majini katika shuhuli zao za kila siku, hapa tusimumunye maneno, kama huyo mtaalam( haswa wa vitabu) hawezi kusoma kisomo Cha kumuita jini Live Aje hapo mlipo na uongee shida zako na aidha AKUPE Pete iliyotoka ujinini ama pesa na masharti basi hapo niseme unatapeliwa, kimbia.

Njia za kufanikiwa zipo, nyingine za asili, nyingine za kutafuta ila mwisho wa siku Dunia Haina huruma, hakuna asietaka kufanikiwa ila tuwe makini kupata Njia sahihi, zilikuepo na zipo tuzitumie lakini lazima utafute maarifa kwanza.
 
Vipi mtu kama una jini baya la kutumiwa kichawi,vifungo magonjwa. Nifanye nini kupona maana mwili ausikii dawa yyte ya asili
kama ndani ya asili yako umeshindwa kupata mtaalam ambaye atakusaidia kwa shida uliyonayo narudia kusema kua yapaswa upate mtu maalum Sasa ambaye yeye ana utaalam wa mizimu ya asili yoyote na pia majini...
 
Sawa ahsante kwa ushauri, ngoja nianze kusaka mganga konki kutoka kwetu niachane na hawa wa Tanga.

Shimba ya Buyenze huko kwetu mganga konki ni chimbo gani au niende gamboshi?
Mfano wewe ni mchaga , mizimu ya kichaga unaenda kwa waganga wa Tanga mizimu ya kisambaa ...ni vitu viwili ambavyo haviendani na mganga tapeli hatakuambia atajifanya kufanya kazi pale achukue pesa yako ukitoka pale hakuna kitu ndio mana unaskia mtu anakuambia Mimi nimeenda sehem flan ila sijaona kitu ...
 
Bro we ulivoenda kwa waganga wakwenu mambo yametiki?
 
Asalaam Aleykum...

Kumekua sana na mada ama wimbi la watu wanaotafuta mafanikio ama utajiri kupitia waganga.

Lakini pamoja na yote sekta hio imegubikwa na utapeli mwingi kuliko kawaida na ubabaishaji mwingi usio na kifani, achilia mbali USIRI mkubwa sana wa jambo lenyewe.

Baada ya kufikiria kwa mda sana na kusoma na kusikia sana nimekuja kupata ufahamu wa yafuatayo,

Chukulia mfano wewe unayetafuta utajiri huo asili yako ni mmakonde, na kama una mizimu ya kimakonde, unaenda kutafuta utajiri kwa mtaalam mwenye mizimu ya kinyaturu, hapo jiulize swali je itawezekana kweli kwamba mizimu yako ya asili yako watakubali kwamba wakuachie alimradi umekubali mwenyewe bila kulazimishwa kua upate huo utajiri kupitia mizimu ya asili nyingine?

Pia wajuvi watanisaidia hapa, je kila mtu ana mizimu ya asili anahyotoka automatically anapozaliwa au sio kila mtu ana uwezo wa kua na mizimu , yan umezaliwa hauna mizimu ya kwenu ila pengine unafanya Ibada zao, au umezaliwa lakini mizimu imeambatana na wewe...inakuaje hapo? Wajuvi watanisaidia hapa

Tukirudi kwenye mada kuu, baada ya kujiuliza kua asili ya tofaut ya kwako na ya mtaalam unayeenda kupata utajiri je itawezesha wewe kufanikisha jambo LAKO? Vipi ukisema kama wewe ni mmakonde ukatafute mafanikio ya kiuchumi kupitia waganga wa asili yako...Yani wamakonde ..

Nimeonelea hivyo baada ya kuona watu wengi wakitapeliwa na matapeli waganga wanatapeli kweli watu wasio na ufahamu wa undani wa haya mambo, hivyo mpambanaji embu tafakari na ufanye maamuzi sahihi

Kwa wale pengine wasiotaka kujihusisha na mizimu, wanaitaji labda utajiri wa kuwatumia majini katika shuhuli zao za kila siku, hapa tusimumunye maneno, kama huyo mtaalam( haswa wa vitabu) hawezi kusoma kisomo Cha kumuita jini Live Aje hapo mlipo na uongee shida zako na aidha AKUPE Pete iliyotoka ujinini ama pesa na masharti basi hapo niseme unatapeliwa, kimbia.

Njia za kufanikiwa zipo, nyingine za asili, nyingine za kutafuta ila mwisho wa siku Dunia Haina huruma, hakuna asietaka kufanikiwa ila tuwe makini kupata Njia sahihi, zilikuepo na zipo tuzitumie lakini lazima utafute maarifa kwanza.
Muumbaji wa Dunia na vilivyo Ni mmoja kwahiyo kanuni ya Kufikia Mafanikio Ni moja ila Kuna Njia mbili ya Giza na nuru".njia ya Giza(kafara ya Mtu) Ina Mwisho mbovu na gharama kubwa ila Njia ya nuru(kafara za wanyama)Ina Mwisho mwema".

Kafara,kafara, kafara ya damu lazima ihusike yoyote anaetanguliza kafara Kisha maombi/mahitaji yake uwezi kulingana nae".

Na Hilo lipo hata kwenye vitabu vya Dini Ibrahim alitoa kafara,Musa na Haroun Walitoa kafara kwenye kufungua madhabahu".kaini na abeli alitoa Mnyama(Damu) Sadaka yake ilipokelewa".

We Hujiulizi kwanini Wahindi na Warabu Wanachinja Sana wanyama.

Kwahiyo ukiweza Jitahidi kwa Mwaka toa kafara ya Damu(ng'ombe,mbuzi,kondoo) kulingana na uwezo wako alafu muombe Mungu unachokitaka".
 
MUUMBAJI WA DUNIA NA VILIVYOMO

Mkuu ulichosema kweli ila unachinja sawa...unamchinjia nani? Wahindi unaowasema Wana asili yao ama sehem wanapoombea mambo yao kwaio wakichinja wanamchinjia huyo wa asili yao wanaemuabudu...ndio mana mambo yao hua yanawanyookea mana hata mtoto anapozaliwa hupelekwa huko kufanyiwa mambo kulingana na tarehe yake ya kuzaliwa na mengineyo..ila ulichosema ni kweli kabisa.
 
Sawa ahsante kwa ushauri, ngoja nianze kusaka mganga konki kutoka kwetu niachane na hawa wa Tanga.

Shimba ya Buyenze huko kwetu mganga konki ni chimbo gani au niende gamboshi?
Tanga huko ni kama unataka shemeji yetu atulie ndani ila kwa mengine hakuna kitu. Hebu Njoo PM bageshi wala usihangaike. Yupo kikongwe anaitwa Mīja na mzee mmoja anajulikana kama Ng'wanikanga ni mwisho wa maneno. Wapo kijiji kimoja kinaitwa Būbale (a.k.a Gamboshi mpya) huko Ntuzu. Yaani ishu yako inaisha hapo hapo unaangalia kwenye kioo au sinia la maji utafikiri umesabuskraibu kwenye kisimbuzi cha DSTV Premium. Sema kipindi hiki cha uchaguzi watakuwa bize sana na watia nia wanapiga mamilioni deile. Liyagamba lya Ng'walūgiko hebu njoo utie neno hapa ili tumsaidie huyu bageshi wetu 😂 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3376330
Wabheja sana kaka, ngoja oktoba iipite 😁
 
Dada nakuunga mkono
Ukipata nisaidie na mimi.
Nimedhulumiwa mil 5.4 walionidhulumu wanadunda tu mjini na wanajibu kunya.

Ninaweza kuwafata front ila nahofia matokeo yake maana nina familia, haitapendeza wanangu na mke wangu kuja kuniona jela, majukumu yangu atatimiza nani.

Tafadhali ukipata usinisahau.
Mkuu kama ulifanikiwa kumpata huyo mganga nipe na mimi kuna mtu naona analetaa dharau kwenye jasho langu
 
Pole mkuu.
Mimi niliamua kufuata mkondo wakisheria, maana mganga alinionesha vipengele.
Nashukuru Mungu, nilipata pesa zangu
 
Back
Top Bottom