hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,396
- 80,358
😂😂Mchezo babu tale au mkubwa fela hawajawahi kufeli.
😂😂Mchezo babu tale au mkubwa fela hawajawahi kufeli.
Natamani niwe na huo moyo lakin ndo naukosaMuda ndio dawa, huwezi kufosi kusahau.Atakuja kukutafuta mwenyewe tu,kumbuka mtoto hawezi kuteseka kwa mama yake.
Sikushauri tu kwa sababu naona unateseka .Nishapitia hiyo hali ,miaka mitatu baadaye nikatafutwa na sikua na kinyongo wala mnuno. Mtoto ninaye,mama yake anateseka tu huko aliko.
Mtu akiondoka kibabe na kwa dharau kwenye mahusiano(ndoa) ipo siku atarudi tu kuomba msamaha. Ukimkomalia uta dharirika,kila la heri.
Jipe muda Chief,muda ni dawa ya maumivu ya mapenzi. Wewe unateseka wakati mwezio moyo ulishahama. In this moment ana enjoy maisha na mpenzi mwingine.Natamani niwe na huo moyo lakin ndo naukosa
Kama unataka umsahau ni rahisi mkuu.nimejaribu nimeshindwa. kaondoka na mtoto wangu mdogo, hata nikipata mganga wa kunifanya nisahau pia ni sawa
nipe mbinu mkuuKama unataka umsahau ni rahisi mkuu.
Tafuta majani yanaitwa Holly basil au tulsi au kivumbasi cha Asili tengeneza chai yakekunywa kwa siku 3 utamsahau kabisaaanipe mbinu mkuu
nipe mbinuKama unataka umsahau ni rahisi mkuu.
Picha yake tafadhali, make nimegoogle nimeletewa majani tofauti tofautiTafuta majani yanaitwa Holly basil au tulsi au kivumbasi cha Asili tengeneza chai yakekunywa kwa siku 3 utamsahau kabisaaa
nipe mbinu
Picha yake tafadhali, make nimegoogle nimeletewa majani tofauti tofauti
nachemsha yaani, si ndio mkuu?Tafuta majani yanaitwa Holly basil au tulsi au kivumbasi cha Asili tengeneza chai yakekunywa kwa siku 3 utamsahau kabisaaa
Chemsha kama unavyopika chai mkuu na unakunywa chai yalenachemsha yaani, si ndio mkuu?
ðŸ˜ðŸ˜KOBAZI NA UGANGA 😆😆😆
Dear usi judgeDuh wamatumbi tunasafari ndefu sana