cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,949
- 5,155
🤣🤣🤣🤣🤣Uje na kuku, vuz
Kipande chake cha boxser
Na chup yako moja
Ahsante
🤣🤣🤣🤣🤣Uje na kuku, vuz
Kipande chake cha boxser
Na chup yako moja
Ahsante
Hapana sijafanya hivyo.Dear usi judge
Umejuaje tutakuja pm?Yanii mnavyonifanyia... Ila najua mtakuja pm kuuliza kama nilipata niwape namba
Niombee tuHapana sijafanya hivyo.
Unamcheka mganga🤣🤣🤣🤣🤣
Uje kwangu maombi ya mbali hayafanyi kaziNiombee tu
Haha mganga mzuri hatumi nguo wala zivuUnamcheka mganga
Ntakupiga juju😂
Kaa hivyo hivyooHaha mganga mzuri hatumi nguo wala zivu
Nawajua sanaUmejuaje tutakuja pm?
SawaUje kwangu maombi ya mbali hayafanyi kazi
Unataka usumbuliwe au hautaki huko PM?Nawajua sana
Kuna Uzi Tata nilipost Wacha wanisumbue huko pm
Labda wanisumbue waPemba tu wakiniletea machimboUnataka usumbuliwe au hautaki huko PM?
Kama kwel ni wakike utasumbuliwa tu , hiyo kawaida .Labda wanisumbue waPemba tu wakiniletea machimbo
Hahah hili nalo neno
Unajua km wanakula viboga wateja? 😹Wakuu habari zenu?
Naomba kwa wanaoishi Pemba wanisaidie kupata mganga mzuri ambaye majibu ya kazi zake ni papo kwa papo.
Nina shida kubwa wakuu.
Naomba wale wa ushauri mtulie kwanza maana yote hayo nayajua tangu utoto kwangu.
Asanteni.
Mh jaman usinambieeUnajua km wanakula viboga wateja? 😹