Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 995
- 1,254
Mi nmrona umu nmetafut boda mwanz nzima amn anaepajua ndo maan nmekuja kuuliza tena aelezee sehemu vizurELezea
ELezea zaid ni stand ya mabasi ya nyegezi
Mi nmrona umu nmetafut boda mwanz nzima amn anaepajua ndo maan nmekuja kuuliza tena aelezee sehemu vizurELezea
ELezea zaid ni stand ya mabasi ya nyegezi
Sijasema ninaamini hiloKaka siamini kama na wewe ni kilaza
SawaSijasema ninaamini hilo
ILA
Nimeuliza tu maana kila mtu ana mawwazo sasa ningependa kuyajua
Wale wa mnyaaazi ndio wanayatofauyisha lakini sisi wa ipako yote ni mashetani
HabariHebu niambie vita yako unataka iwe na Matokeo gani.
Kutoa funzo ama Kuteketeza kabisa?
Kisha nitajua nikusaidieje.
Hapa ulipigwa😃Pindi naanza maisha baada ya kutoka chuo nimefika kitaa nikaanza kufanya biashara za baba sasa kuna best yangu mmoja akaja akanambia aisee ww badi kijana mdgo sana na kwa nafas ulonayo inatakiwa uwe makini
Bas bana akanambia kuna mtaalam tende yuko babati bas tukaenda mtaalam akasema inatakiwa milion2 ili nikusaidia wakat huo mm najiona sina shida yyte ila mganga anadai anataka anisaidie bas kwakua pesa sio shida tukaelewan nakupa laki5 zen 1.5m ni baada ya week ili nione dawa imefanya kaz au lah bas mganga akakubali tukapanga siku ya kaz.
Sku ya kaz kwanza mganga akaanza kwa kupiga ishara ya msaraba akamaliza akasali baba yetu amalamilaza akasali sala ya
Maria kimoyoni nikasema hapa nimepigwa bas mganga akachukua dawa nyeusi sjui ni mikaa akanipaka utosini akachukua mkia wa mbuzi sjui wa cow akanichapa nao akaongea maneno yake pale zen akanambia niende zen baada ya 2 days nirudi hahha kwa kwel nilipo toka ku nje nikajisemea moyano laki5 yangu imeenda bure mganga gan amasali, mganga gan ajanichanja nikaondoka zangu skuwai kurudi tena na yule best alie nipeleka nikamchukia adi leo hii atuongei vzr maana nlihisi kashiriki kwenye utapel.
So kua makini na hao waganga matapel ni wengi
Inawezekana kweli ulipigwa ama laah,ila usilo lijua bible agano la kale ukilijua kulitumia vyema n zaidi ya uganga,iyo Salam Malia ukijua code yake unampa mtu ukichaa,iyo baba yetu ukisoma kwa idad maalum na Salam maria n ramli tosha unaona magonjwa yte ya mgonjwa kwanzia mwanzo ad mwisho😂😂😂 na ukizid kusoma mapepo yanapanda kama uyu mtu ana mapepo tena ukapata na kaishara kake ukakachora kwenye paji la uso la mgonjwa basi ayo mapepo yaliyo panda yawez kukutoroka ama kukukimbi ad utakapo yamaliza yte kuyateketeza acha bwana hii elim n bahari mkuu😂😂🏃🏼♂️🏃🏼♂️Pindi naanza maisha baada ya kutoka chuo nimefika kitaa nikaanza kufanya biashara za baba sasa kuna best yangu mmoja akaja akanambia aisee ww badi kijana mdgo sana na kwa nafas ulonayo inatakiwa uwe makini
Bas bana akanambia kuna mtaalam tende yuko babati bas tukaenda mtaalam akasema inatakiwa milion2 ili nikusaidia wakat huo mm najiona sina shida yyte ila mganga anadai anataka anisaidie bas kwakua pesa sio shida tukaelewan nakupa laki5 zen 1.5m ni baada ya week ili nione dawa imefanya kaz au lah bas mganga akakubali tukapanga siku ya kaz.
Sku ya kaz kwanza mganga akaanza kwa kupiga ishara ya msaraba akamaliza akasali baba yetu amalamilaza akasali sala ya
Maria kimoyoni nikasema hapa nimepigwa bas mganga akachukua dawa nyeusi sjui ni mikaa akanipaka utosini akachukua mkia wa mbuzi sjui wa cow akanichapa nao akaongea maneno yake pale zen akanambia niende zen baada ya 2 days nirudi hahha kwa kwel nilipo toka ku nje nikajisemea moyano laki5 yangu imeenda bure mganga gan amasali, mganga gan ajanichanja nikaondoka zangu skuwai kurudi tena na yule best alie nipeleka nikamchukia adi leo hii atuongei vzr maana nlihisi kashiriki kwenye utapel.
So kua makini na hao waganga matapel ni wengi
Njoo inbox.nikusaidie na yeyote mwenye shidaPoleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama wwHiyo title sasa... duh!
Mimi mwenyewe kuna watu nikija kubahatika kukutana na mchawi/mganga naweza kuwapiga 'zongo' la kibabe