Natafuta mganga wa kienyeji konki
Yani moderator jaman kwanini Uzi ukaunganishwa?🙆‍♂️😭
Nimeumia Sina namna
 
KOBAZI NA UGANGA 😆😆😆

Ni sehemu gani hii Tz hakuna waganga? Zaidi wewe mwenyewe ni shahidi sehemu ambazo ndugu zetu wenye ualbino walikuwa wakiuawa hasa sio maeneo yenye "wavaa kobazi" wengi, kwanini? Kwanini mambo ya kuchuna ngozi hayakuwepo sehemu yenye "wavaa kobazi" wengi? Kwanini mauaji ya kishirikina yanasikika sehemu ambazo "wavaa kobazi" ni wachache? Kwanini sehemu ambazo "wavaa kobazi" ni wengi hayo mambo huyasikii?
 
Wakuu habari zenu?
Naomba kwa wanaoishi Pemba wanisaidie kupata mganga mzuri ambaye majibu ya kazi zake ni papo kwa papo.
Nina shida kubwa wakuu.
Naomba wale wa ushauri mtulie kwanza maana yote hayo nayajua tangu utoto kwangu.
Asanteni.

Wewe ni Muislam?
 
Ni sehemu gani hii Tz hakuna waganga? Wewe mwenyewe ni shahidi sehemu ambazo ndugu zetu wenye ualbino walikuwa wakiuawa hasa sio maeneo yenye "wavaa kobazi" wengi, kwanini? Kwanini mambo ya kuchuna ngozi hayakuwepo sehemu yenye "wavaa kobazi" wengi? Kwanini mauaji ya kishirikina yanasikika sehemu ambazo "wavaa kobazi" ni wachache? Kwanini sehemu ambazo "wavaa kobazi" ni wengi hayo mambo huyasikii?
Achana nae asikupotezee mda huyo.
Nambie mwaya wapi Pemba naweza pata mganga mzuri
 
Kuhusu dini naomba nisiseme.

Kama wewe ni Muislam nakuusia na kuiusia nafsi yangu kumcha Allah ndugu yangu. Kuwa na subra na umdhanie Allah Dhana nzuri. Kama kuna mitihani inakusibu kuwa na subra. Usiingie katika Shirki ambayo ndio Dhambi kubwa kuliko zote katika Uislam, dhambi ambayo ukifa bila ya kutubia Allah haisamehi, tunamuomba Allah Afya na Salama. Shirki ni Dhulma kubwa na inaporomosha Amali njema zote.

Kuwa na Subra, Allah atakulipa kheri kutokana na mitihani yako. Huenda Allah Akakusamehe madhambi yako kutokana na mitihani hiyo, na Akakupandisha daraja.

Tumia njia zilizowekwa katika Shari'ah kutatua changamoto. Kama ni maradhi nenda hospitali au katibiwe kwa Ruqya ya Kishari'ah (ambayo haina ushirikina na makandokando). Kama umedhulumiwa kuwa na Subra, samehe au kama limekukaba kwelikweli huwezi kuachia mshtakie Allah kwenye Dua zako na ukiwa unaswali bila kuchupa mipaka, dua ya mwenye kudhulumiwa hairudishwi. Ila kusamehe ni bora zaidi.

Ila usiende kwa waganga wachawi, watakutia katika ushirikina, utaharibu dunia na Akhera yako, Allahul Musta'aan! Hutopata nafuu na utajiongezea mizigo na matatizo. Kuwa na Subra.

Allah Anaona kila kitu na Analipa. Kuwa na Subra.

Allah Aniongoze mimi na wewe katika njia iliyonyooka, Aamiin.
 
Kwanini watu waislamu wanaenda kwa waganga au kufanya ushirikina ikiwa njia halali za kisharia kutatua hizo changamoto zao?
 
Me nilishaweka waz kutotaka ushauri zaidi ya kutoa location
 
Kwema mkuu mnaweza nisaidia namba za mtaalam kama wa uhakika nina mazito , nimejaribu kupitia huu uzi mda mrefu bila mafanikio msaada wenu pls kama hamtojali 🙏🏾

Cc Smart911
Cc Kizibo
 
Kwanini watu waislamu wanaenda kwa waganga au kufanya ushirikina ikiwa njia halali za kisharia kutatua hizo changamoto zao?

Wengi sana hawajui na wengi hawajalelewa katika malezi ya Tawheed, na baadhi ni kufuata matamanio pamoja na/au kukosa subra. Lakini sababu kubwa ni ujinga.

Ila Al-hamdulillah ,Elimu Sahihi ya Dini inaenea sasa na watu wanaanza kuelewa. .

Na Allah ni Mjuzi zaidi.

Namuomba Allah Afya na Salama. Namuomba Allah auunganishe Ummah wa Kiislam katika Tawheed na Sunnah.
 
Wengi sana hawajui na wengi hawajalelewa katika malezi ya Tawheed, na baadhi ni kufuata matamanio pamoja na/au kukosa subra. Lakini naona sababu kubwa ni ujinga.

Namuomba Allah Afya na Salama.

Ila Al-hamdulillah ,Elimu Sahihi ya Dini inaenea sasa na watu wanaanza kuelewa. .

Na Allah ni Mjuzi zaidi.

Namuomba Allah auunganishe Ummah wa Kiislam katika Tawheed na Sunnah.
Ila wakati mwengine watu hukumbwa na matatizo na hawajui ni vp wanaweza kupata suluhu ya hayo matatizo kwa njia ya kisharia.
 
Kama unauwezo nenda mwanza , hapo stendi ya mabasi waulize bodaboda kuhusu eneo linaolitwa kilifi , hapo kilifi stendi muulizie mzee anaitwa John ,anajulikana sana, ila jipange kukaza roho chochote utapata

ndo maana nimeelezea na kabisa , kazi huwa nikulingana na unachotaka , kile utakacho kule utakipata , akikupenda akuingize kwa hilo pori lake utaona dunia nyingine na mambo ambayo nikielezea hapa utaona kama chai vile , ila sharti kuu mtakacho kubaliana usikiuke hata nukta
 
NAtafuta mtu aliyetoa iyo connection apo juu nimtag tumuuliz ana uhakika na ilo eneo maan boda awapajui kila mtu apajui
 
ELezea
Kama unauwezo nenda mwanza , hapo stendi ya mabasi waulize bodaboda kuhusu eneo linaolitwa kilifi , hapo kilifi stendi muulizie mzee anaitwa John ,anajulikana sana, ila jipange kukaza roho chochote utapata

ndo maana nimeelezea na kabisa , kazi huwa nikulingana na unachotaka , kile utakacho kule utakipata , akikupenda akuingize kwa hilo pori lake utaona dunia nyingine na mambo ambayo nikielezea hapa utaona kama chai vile , ila sharti kuu mtakacho kubaliana usikiuke hata nukta
ELezea zaid ni stand ya mabasi ya nyegezi
 
Back
Top Bottom