Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 176,641
- 194,561
Unataka kunipiga kipapai...Kuna mtu naona kipapai kinamuhusu kabisaaaa😂😂😂😂😂!
Unataka kunipiga kipapai...Kuna mtu naona kipapai kinamuhusu kabisaaaa😂😂😂😂😂!
tunduma matapeli wengi sanaTunduma mzee utajiri wa punje.
Vipi mkuu ulifanikiwa kumpata mtaalam?Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Kaoge ndivangundu same...ukirud ulete mrejeshomishe haziendi kabisa
kila kitu kimesimama. ninafamilia inanitegemea,kodi , mahitaji yote juu yangu.
naombeni machaka wakuu namm nikapikwe mambo yanyooke watoto wafurahie maisha . mambo bado magumu sana
Mkuu agiza drone huko Iran unamlenga yule yulePoleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
hio ndivangundu ndo nini mkuu nieleweshe vizuriKaoge ndivangundu same...ukirud ulete mrejesho
Hiyo ni sehemu ya mizimu Iko same milimani..huko ata ukiwa na gundu vipi.ukiogeshwa wewe unarudi kuwa mpyahio ndivangundu ndo nini mkuu nieleweshe vizuri
Una uhakika ?!tunduma matapeli wengi sana
Ukijaa kwenye 18 unasafishwa tuHuu uzi sijui kwanini mtu kaufufua leo, nikiona hizi mambo najikuta namuheshimu kila mtu ofisini na mtaani maana kuna mtu anaweza kukuchukia tu na kama ndo anamganga wake hakawii kukufanyia jambo.
Hizi mambo sio poa wazee tusifanyiane tuambizane tu usoni.
shida nishaenda sana mwisho nimeishia kupigwa tuUna uhakika ?!
Hakuna Mganga wakukupa utajiri wala mafanikio yoyote .shida nishaenda sana mwisho nimeishia kupigwa tu
ukitaka utajiri nenda shinyanga na mwanza kidogo, tafuta wale wanamzik wa asiri wakubwa watakupa conection.mishe haziendi kabisa
kila kitu kimesimama. ninafamilia inanitegemea,kodi , mahitaji yote juu yangu.
naombeni machaka wakuu namm nikapikwe mambo yanyooke watoto wafurahie maisha . mambo bado magumu sana
Wewe ni muongo au Bado mtoto Mdogo.. Huko afrika...wewe uko ulaya? , au nyinyi ndio mnasema Bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuishi afrika...unaishi ulaya unafikiri kila anayeishi afrika ni kapuku kama wewe..Kaa na matajiri wakupe stori dogo ...Hakuna Mganga wakukupa utajiri wala mafanikio yoyote .
Mimi ninao watu wangu wa karibu Ambao wamekuwa wakiloga Sana Ila hakuna kilichobadilika kwenye maisha yao.
Utaangaika Sana na utaliwa Sana hela .
Ni upumbavu mkubwa kuamini kuwa Binadamu mwenzako anaweza kukupa utajiri wa kishirikina .
Ingekuwa inawezekana basi huko Africa mnavyoabudu uchawi mgekuwa mnamaisha mazuri.