Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

Hapo mama yenu akishauza nyumba baada ya muda ataishiwa arudi kwenu asaidiwe. Msipomsaidia atasema ametelekezwa
Na hapo ndo panapokuaga pagumu, ndugu, jamaa, marafiki na jamii yote itawalaumu kwa kushindwa kumtunza mzazi wenu. Mkikomaa asiuze anawaambia msimpangie matumizi ya mali yake. Kazii kweli kweli 🤔
 
Na hapo ndo panapokuaga pagumu, ndugu, jamaa, marafiki na jamii yote itawalaumu kwa kushindwa kumtunza mzazi wenu. Mkikomaa asiuze anawaambia msimpangie matumizi ya mali yake. Kazii kweli kweli 🤔
Inaumiza sana kwakweli mana kaka tunaye mmoja tu ila nayeye hana muda wwt wa kuangalia mali alizoacha mzee, hani iikitokea ukarabati wa nyyumba ni sisi tunajichanga tunakarabati. Kayumba kidogo kimaisha hataki shida anataka maisha ya juu tayari kaafiki nyumba iuzwe apewe mtaji, imagine nyumba iko katikati ya mji ambapo thamani yake si chini ya mil 300 alikuja mteja wa mil 90, na ma mdogo ndio alimleta. Sasa mil 90 hata ikiuzwa itatusaidia nini? Mama ataishia wapi ni mzee hawezi kufanya biashara yyt alizoea kuishi kwa kula kodi za nyumba kama sio kuttafutiana shida ni nini jamani🙆, kiukweli pamoja na mapungufu ya baba yetu lakini aliona mbali sana akakataa mali yyt isiuzwe. Dah kwakweli inaumiza sana mana mwisho unajulika
 
Huyo mama yenu mdogo ni wa kuchunga sana. Yeye hana mume na watoto wake waliomuachia mali?
 
Jamani eeeeh! Huyu dada asisakamwe! Amesema mama anataka kuuza nyumba kutokana na ushawishi wa mdogo wake ambaye ni mamake mdogo na mleta mada. Huyo mbibi anataka kudhulumiwa nyumba na huyo mdogo wake. Hapa ndipo sheria mkononi huwa inafanya kazi! Naweza kukuelekeza kwa wataalam wa kupiga mapanga huyu mdogo mtu anyofolewe bichwa!
🫣🫣🫣🫣😍🫣😤
 
Asante sana

Ndugu paskal,
Naomba kujua kama baba aliacha wosia kwa kutaja mali zote ikiwemo na nyumba hiyo kuwaa ni mali za watoto na zisiuzwe na kusema mama ni msimamizi tuu watoto waakikuwa wapewe je mama anahaki ya kuuza hiyo nyumba?? Mirayhi iliandikwa naa kufikishwa mahakamani na ni kweeli ghata mimi binafsi niliwah kuulizia hy mirayhi nikaonyeshwa kwenye kumbukumbu za mafile kuwaa ipo na. Sasa kama mali za baba ni za mama kwanini kjlikuwa na mirathi aliyoandika baba na kututaja watoto wake kama wamiliki na mama msimamizi?? Tena aliandik ikiwa mama atataka kuolewa aolewe ila aache mali zote kamazilivyo. Samahani lakininaomba unisaidie kunielewesha
1. Mali ya ndoa ni ya wanandoa 100% hata kama baba ndio alikuwa anachuma na mama ni golikipa.
2. Urithi wa lazima ni kwa watoto dependandants,under 18. Watoto independent watarithi kwa the will ya marehemu.
3. Baba akifa mali inakuwa ya mama na watoto dependants,watoto independent mnajisimamia mpaka mama atakapoitwa.
4. Mama hawezi kuuza hiyo nyumba bila ya mashauriano na watoto ila kama haimfaidii,na kuiuza ni the best option,watoto ridhieni nyumba iuzwe na kila mtoto atapata mgawo toka kwa mama.
5. Kwa vile mama hakuolewa tena,she still holds the derivatives rights za mali za mume, na watoto mtarithi mama atakapo ondoka。
Hebu acheni kumsumbua mama,msaidieni na nyinyi tafuteni vyenu!
P
 
Sawa nimekuelewa ila bado ninauliza maana ya wosia

/mitathi ni nini?
 
Sawa nimekuelewa ila bado ninauliza maana ya wosia

/mitathi ni nini?
Familia ikishakuwa na wanawake wengi basi hiyo familia ni mgumu kufanikiwa.

Kwakuwa hapo kinachowasumbua ni kukosa maelewano mazuri baina ya watoto na mama .

Leo Ijumaa hakikisha unaamkia Ofisi za Mwanasheria aweke zuio la kuuza Nyumba .

Na hakikisha hizi habari zinasambaa kuwa hiyo Nyumba haiuzwi .

Hakuna MTU atakubali kutoa hela yake kununua Nyumba yenye mgogoro.
 
Inaumiza sana kwakweli mana kaka tunaye mmoja tu ila nayeye hana muda wwt wa kuangalia mali alizoacha mzee, hani iikitokea ukarabati wa nyyumba ni sisi tunajichanga tunakarabati. Kayumba kidogo kimaisha hataki shida anataka maisha ya juu tayari kaafiki nyumba iuzwe apewe mtaji, imagine nyumba iko katikati ya mji ambapo thamani yake si chini ya mil 300 alikuja mteja wa mil 90, na ma mdogo ndio alimleta. Sasa mil 90 hata ikiuzwa itatusaidia nini? Mama ataishia wapi ni mzee hawezi kufanya biashara yyt alizoea kuishi kwa kula kodi za nyumba kama sio kuttafutiana shida ni nini jamani🙆, kiukweli pamoja na mapungufu ya baba yetu lakini aliona mbali sana akakataa mali yyt isiuzwe. Dah kwakweli inaumiza sana mana mwisho unajulika
Nyie mama yenu ukiachana na kodi je mlikuwa mnamtunza na kumuhudumia vizuri .??
 
Ana miaka 74, mimi ni ke,
Niko kwangu
Tunaye kaka mmoja ambaye kwa sasa maisha yake yameyumba hivyo anamshawishi mama auze nyumba ya familia ampe mtaji, hata hivyo hajawah kukanyaga mahakamani zaidi alitutumia ujumbe kwa simu kuwa nyumba inauzwa.
Nilihisi tu kuwa lazima kuna ndugu mmoja (possibily kipenzi cha mama) ana push kitu kama hicho. Wanawake wakifikia umri wa mama yako mara nyingi huwa watulivu sana na ni nadra kuuza mali kwa sababu nyingine yoyote zaidi ya kusukumwa na mapenzi ya watoto/mtoto. Sisi wanawaume ndiyo majanga, kwani unaweza kukuta baba mwenye umri huo anauza ili ale maisha.
 
Familia ikishakuwa na watoto wakike wengi haiwezi kuwa na Maendeleo.
 
aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishwe,
 
Siyo kweli! Wanawake wanajali kwao sana kuliko sisi wanaume! Huwa wako radhi hata kuiba mali ya mume kupeleka kwao!
Hamna kitu Kama hicho kujali unazungumzia kutuma hela ya sukari na chumvi.

Hapa tunazungumzia mambo ya msingi kama kutengeneza wealth generation Kama Rockefeller Family
 
1. Umiliki wa Nyumba

  • Ingawa jina lilisajiliwa kwa mama yenu kwa sababu ya mazingira ya kihistoria (kesi ya uhujumu uchumi), mali hii kiuhalisia ni mali ya baba yenu kwa kuwa ndiye aliyeinunua, na ushahidi ni mirathi aliyoiandika akabainisha mali ni ya watoto na si ya mama binafsi.
  • Kwa mujibu wa Sheria ya Mirathi (Probate and Administration of Estates Act, Cap 352 R.E 2002 – Tanzania), mali yoyote aliyokuwa akimiliki marehemu inapaswa kugawanywa kulingana na mirathi au kama hakuna, kwa urithi wa kisheria.

2. Kuhusu Mirathi na Faili la Mahakama

  • Faili la mirathi haliwezi kupotezwa kiholela, kwa sababu nyaraka za mirathi ni rekodi rasmi za Mahakama na huhifadhiwa kwenye Registry.
  • Ikiwa kweli jalada limepotea, unaweza kuomba upya Mahakama kutoa nakala ya uamuzi na hati za mirathi kupitia “certified copies” kwani kila jalada lina namba (probate file number).
  • Ikiwa mama alipewa nakala yake na inasemekana imepotea, bado Mahakama inabaki na wajibu wa kuhifadhi nakala. Kama hakuna, basi jambo hilo linaweza kufikishwa kwa Mahakama Kuu – Kitengo cha Ardhi au Mirathi kwa malalamiko ya upotevu wa faili.

3. Haki ya Mama Kuamua Kuuza

  • Kwa mujibu wa wasia, mama hakuwa mmiliki halisi bali msimamizi wa mali kwa ajili ya watoto.
  • Kwa hiyo, mama hana mamlaka ya kuuza mali kinyume na masharti ya mirathi (kwa mfano wasia kusema "mali zisiuzwe").
  • Kama atajaribu kuuza, hiyo ni kuzidisha mamlaka (breach of trust) na watoto wana haki ya kuzuia kwa kufungua shauri la kuzuia uuzaji (injunction).

4. Hatari ya Ushawishi na Udanganyifu

  • Ushawishi kutoka kwa mdogo wake unaweza kupelekea undue influence – jambo ambalo Mahakama inaweza kuzuia endapo nyinyi mtawasilisha ushahidi.
  • Historia ya hati kuchukuliwa benki tayari ni dalili ya hatari, hivyo mnapaswa kuchukua hatua haraka kisheria.

5. Mambo ya Kufanya Hivi Sasa

  1. Nendeni Mahakama (ambapo mirathi ilifunguliwa) muombe namba ya jalada na nakala ya hukumu / hati ya mirathi (probate or letters of administration).
  2. Fungueni shauri jipya kama jalada limepotea, mkieleza kuwa kuna jaribio la mama kuhamisha mali kinyume na mirathi.
  3. Ombeni amri ya Mahakama ya kuzuia uuzaji (injunction) mpaka suala la umiliki na mirathi liamuliwe upya.
  4. Kama hamna uaminifu na hakimu wa eneo, pelekeni suala Mahakama Kuu – Probate and Administration Registry ili lisimamiwe juu.
  5. Hifadhi ushahidi wote (nakala za wasia, ushahidi kuwa baba ndiye alinunua nyumba, na ushahidi wa ulaghai wa hati huko nyuma).
Unatakiwa uwe mwanasheria wa jamii forum...weka number yako au ofice watu wawe wanakutafita

Umetoa ufafanuzi ulionyoka
 
Hamna kitu Kama hicho kujali unazungumzia kutuma hela ya sukari na chumvi.

Hapa tunazungumzia mambo ya msingi kama kutengeneza wealth generation Kama Rockefeller Family
Labda kama experience yako iko kwa manamake ya hovyo, lakini kwa wanaojitambua wanafanya makubwa sana! Na mifano ipo mingi tu!
 
Back
Top Bottom