Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,518
- 8,967
Ishi na watu vizuri hapa mjini. Kama mama mdogo anasumbua huyo mama mdogo anatulizwa tulii kama maji ya mtungini. Upo tayari?
Akiuza halafu baadae wamtunze kwa hela nyingine ilhali hela ya hapo ingemtunza.Yaani umeolewa unataka mali ya mama yako alioachiwa na mme wake na akawalea yeye kiwa single mother hadi mkaolewa na wewe uza nyumba ya mmeo dadeki kitoto vya Kinondoni kijinga sana
USSR
Kwanini mnalazimisha nyumba isiuzwe?Hapana. Wosia ambao ni mirathi iliweka bayana kwamba mama ni msimamizi tu wa mirathi lakini nyumba isiuzwe kwa namna yoyote zaidi ya kufanyia biashara pekee.
Mtu akiandika mirathi/wosia akiwa na akili zake timamu basi hakuna namna mtu mwingine anaweza ku challenge.
Shida unafikiria karibu akiuza, soon ataanza kuwasumbua hao hao watoto zake wamleeKwanini mnalazimisha nyumba isiuzwe?
Si mshakua watu wazima nyie?
Kwanini msipambane na wenzi wenu nao wawaachie urithi?
Hivi mama yenu mnamsumbua hivyo, vipi akifariki mkabaki peke yenu si mtachinjana?
Sasa kuna shida gani wakimlea?Shida unafikiria karibu akiuza, soon ataanza kuwasumbua hao hao watoto zake wamlee
Iteni kikao cha familia msuluhishe hili.Ana miaka 74, mimi ni ke,
Niko kwangu
Tunaye kaka mmoja ambaye kwa sasa maisha yake yameyumba hivyo anamshawishi mama auze nyumba ya familia ampe mtaji, hata hivyo hajawah kukanyaga mahakamani zaidi alitutumia ujumbe kwa simu kuwa nyumba inauzwa.
Anayo na maishanyake yt huwa anafanya utapeli wa kutisha sana.Fanyeni namna yoyote mumzuie mama yenu mdogo kuingilia mambo ya familia yenu?Yeye hana familia yake?
HUO WOSIA ISIUZWE KULIKUWA NA MWANANSHERIA AMA WALIENDA MAHAKAMAN??Hapana. Wosia ambao ni mirathi iliweka bayana kwamba mama ni msimamizi tu wa mirathi lakini nyumba isiuzwe kwa namna yoyote zaidi ya kufanyia biashara pekee.
Mtu akiandika mirathi/wosia akiwa na akili zake timamu basi hakuna namna mtu mwingine anaweza ku challenge.
Kwa maelezo Yako, hiyo mahakama inampa vipi uhalali wa mama yenu kuuza nyumba ambayo hakuna ushahidi kwamba ni yake( hati za kumiliki hazikutilewa mahakamani),,,ila kama nyinyi mlitoa ushahidi kwamba nyinyi ni watoto wake na hiyo nyumba ni yake basi ana haki ya kuiuza.Habarini ndugu.
Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishwe, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.
Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu hatutegemei chochote kutoka ktk mali zilizoachwa na mzee, na baadhi tunafanya biasharea ktk nyumba hiyo na zaidi tunampa mama kodi km wapangaji ili aweze kupata mahitaji yake pasipo kututegemea sisi. Na tuliamua hivyo ili aishi kwa utulivu sababu umri wake ni mkubwa sana hana uwezo wa kufanya biashara yoyote tena. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.
Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati wakati baba anaumwa ilikuwa bank alimshikia rafiki yake mdhamana kwa kesi ya mauaji na alishinda kesi mama mdogo akachuku hati akaichukulia mkopo nyumba ikauzwa na bank ila baadae ilirudishwa baada ya kustakiana na mama yetu. sasa mama mdogo amerudi anamshawishi mama auze wafanye biashara ilhali mama hana uwezo huo, Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
Mzee wenu alioacha ni wosia au milathi? Mama ana haki kuuza mali yake..Habarini ndugu.

Duh kwa njia gani mkuu?Ishi na watu vizuri hapa mjini. Kama mama mdogo anasumbua huyo mama mdogo anatulizwa tulii kama maji ya mtungini. Upo tayari?
Asante nduguHilo file number 9 la mwaka 1989 ni file la mahakamani? Kama ndio basi fika masijala ya mahakama husika au fika mahakama ya juu yake kudai upewe nakala ya hiyo hukumu. Humo utakuta mali zote husika zimeandikwa.
Mimi sio mwanasheria Ila nimekushauri hivi kutokana tu na uzoefu na mambo kama haya nilivoona kwa wengine.
Suluhisho lako la mwisho wewe n ndugu zako kama mnaamini mama amepungukiwa uelewa na anataka kufanya maamuzi yasiyo sahihi basi ni kufungua kesi kuomba mahakama itoe zuio la kuuza mali maana muuzaji Hana akili timamu na kuwa ameshawishiwa/kupotoshwa.
Asante.