Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

Kwa ushaur wangu mkalisheni mama mumshauri maoni yenu.. Akikomaa mwacheni ila tahadhari mumpe litatokea la kutokea mbele.. Na mama enu mdogo kaeni nae makin ikibid mumkalishe nae chini akauze vyake
 
Ingekua mimi nisie baba wa hovyo,nisingeweza kuandika mirathi kwa mke,watoto watakua warithi ila mke asimamie ama kijana mkubwa
Hapo hamna chenu tena,mzee alishakosea kuandika mirathi kwa mpita njia
 
Habarini ndugu.

Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishwe, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.

Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu hatutegemei chochote kutoka ktk mali zilizoachwa na mzee, na baadhi tunafanya biasharea ktk nyumba hiyo na zaidi tunampa mama kodi km wapangaji ili aweze kupata mahitaji yake pasipo kututegemea sisi. Na tuliamua hivyo ili aishi kwa utulivu sababu umri wake ni mkubwa sana hana uwezo wa kufanya biashara yoyote tena. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.

Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati wakati baba anaumwa ilikuwa bank alimshikia rafiki yake mdhamana kwa kesi ya mauaji na alishinda kesi mama mdogo akachuku hati akaichukulia mkopo nyumba ikauzwa na bank ila baadae ilirudishwa baada ya kustakiana na mama yetu. sasa mama mdogo amerudi anamshawishi mama auze wafanye biashara ilhali mama hana uwezo huo, Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
Poleni sana inamana huyo ni mama wa kambo? Je mama yenu mzazi yupo au alishatangulia
 
Pole mkuu kwa changamoto hiyo. Ila kichwa cha mada hakiko sahihi. Nyumba yenu ndiyo INAYOTAKA KUUZWA?
 
Hilo file number 9 la mwaka 1989 ni file la mahakamani? Kama ndio basi fika masijala ya mahakama husika au fika mahakama ya juu yake kudai upewe nakala ya hiyo hukumu. Humo utakuta mali zote husika zimeandikwa.
Mimi sio mwanasheria Ila nimekushauri hivi kutokana tu na uzoefu na mambo kama haya nilivoona kwa wengine.
Suluhisho lako la mwisho wewe n ndugu zako kama mnaamini mama amepungukiwa uelewa na anataka kufanya maamuzi yasiyo sahihi basi ni kufungua kesi kuomba mahakama itoe zuio la kuuza mali maana muuzaji Hana akili timamu na kuwa ameshawishiwa/kupotoshwa.

Asante.
Tulichoambiwa na mahakama ni mama alituma karani wa kijijini kwetu lilipokuwa file la mirathi ambapo yt yalihamishiwa mkoani kutafutwa file na majibu yamekuja kuwa limepotea na ndio tukaitwa kuelezwa hilo na kuambiwa tusain ili mama ataje mali zilizoandikwa kwenye mirathi. Yani ni jambo la ghafla sana.
 
Kama mna hela inunueni nyie, kama hamna huo uwezo mwacheni auze awe new Mshangazi in town zikiisha tuu, pressure, kisukari
 
Hilo file number 9 la mwaka 1989 ni file la mahakamani? Kama ndio basi fika masijala ya mahakama husika au fika mahakama ya juu yake kudai upewe nakala ya hiyo hukumu. Humo utakuta mali zote husika zimeandikwa.
Mimi sio mwanasheria Ila nimekushauri hivi kutokana tu na uzoefu na mambo kama haya nilivoona kwa wengine.
Suluhisho lako la mwisho wewe n ndugu zako kama mnaamini mama amepungukiwa uelewa na anataka kufanya maamuzi yasiyo sahihi basi ni kufungua kesi kuomba mahakama itoe zuio la kuuza mali maana muuzaji Hana akili timamu na kuwa ameshawishiwa/kupotoshwa.

Asante.
Ushauri mzuri huu
 
Mwanzo alisema anataka kujenga nyumba nyingine chanika, sasa anasema anataka kuhamia kijijini akafuge kuku ndiyo maelezo aliyotoa mahakamanii hivi majuzi.
Pole sana mkuu, kila la kheri kwenye mapambano
 
Mirathi inasumbua.
Nendeni mahakamani mkaweke zuio
Kama mko vizuri kipesa tafuteni mwanasheria.

Niliwakomesha wakati fulani ila pension yangu iliishia huko. Japo nilifanikiwa
 
Tulichoambiwa na mahakama ni mama alituma karani wa kijijini kwetu lilipokuwa file la mirathi ambapo yt yalihamishiwa mkoani kutafutwa file na majibu yamekuja kuwa limepotea na ndio tukaitwa kuelezwa hilo na kuambiwa tusain ili mama ataje mali zilizoandikwa kwenye mirathi. Yani ni jambo la ghafla sana.
Haiwezekani kukawa hamna nakala ya hiyo hukumu iliyobaki mikononi mwa mahakama. Fanya kuwa serious kwenye ufuatiliaji, labda kuwa na rushwa ambayo imetembea na kama kweli hamna Hilo file basi itabidi mkae ndugu upya kuandika rasimu upya.
Sasa kwa hiyo rasimu mpya mtataja mali zote na kuomba mahakama imchague msimamizi wa mirathi kama yalivo mapendekezo ya kikao chenu cha wanandugu.
Njia rahisi kufupisha mambo nakushauri fungua shauri la kupinga/kuweka zuio la kuuza hiyo nyumba based kwenye uelewa wa mama kwa sasa hivi na pia kudai mahakama itoe nakala ya hukumu ya awali.
Naamini wanasheria waliopo huku watakusaidia vyema zaidi kuliko kina bush lawyer wengine kama mimi.
Nadhani Pascal Mayalla na kina
Mikael Aweda watakusaidia zaidi kitaalamu.
 
FATILIRN ARISE N SHINE
USIKU SAA TATU

WIKI IJAYO NJOON KAWE CHUKUENI MAJI NA MAFUTA YANENEEE MUNGU HAJASHINDWA

UKISIKIA UKOMBOZI WA ARDHI NJOO NA UDONGO WA HAPO KWENU CHUKUA CHANGANYA OMBEA IMILIKIE MALI KUWA YENU N JESUS NAME

UTANIPA MATOKEO
 
Back
Top Bottom