Nina ushuhuda wa kitu kama hiki.Hapo mama yenu akishauza nyumba baada ya muda ataishiwa arudi kwenu asaidiwe. Msipomsaidia atasema ametelekezwa
Mali ni ya baba na sio mama. Mama kama anataka auze tu kisha akatumie hizo pesa na ndugu zake, ila ndio iwe mwisho wa kuwasiliana na hao watoto.
Kisheria, kama mmiliki ni mama hamuwezi kufanya chochote, yeye ndio muamuzi. Kiubinadamu, uko tayari kugombana na mama yenu kwa mali yake mwenyewe?
Acha aseme. Sina roho njema na watu wapumbavu mimi.Msipomsaidia atasema ametelekezwa
Kama Mna maisha yenu na mna Mali zenu, muache huyo mama afanye anachohisi ni sahihi .Habarini ndugu.
Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+, baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru isitaifishwe, na kabla hajafariki aliandika mirathi msimamizi ni mama kuwa mali zote ni za watoto na zisiuzwe na alisema nyumba hiyo ni ya biashara hivyo chcht kitakachopatikana ni kwa ajili ya mama na wanae ila mama akiamua kuondoka kuolewa aache kila kitu aolewe.
Tumekuwa na baadhi tuna miji yetu hatutegemei chochote kutoka ktk mali zilizoachwa na mzee, na baadhi tunafanya biasharea ktk nyumba hiyo na zaidi tunampa mama kodi km wapangaji ili aweze kupata mahitaji yake pasipo kututegemea sisi. Na tuliamua hivyo ili aishi kwa utulivu sababu umri wake ni mkubwa sana hana uwezo wa kufanya biashara yoyote tena. Ghafla mama ametaka kuuza nyumba tukamzuia, akaenda mahakamani tukaitwa hakimu akasema file la mirathi limepotea na nakala aliyopewa mama pia imepotea kwahy anampa mama haki ya kuuza nyumba na mama anasema wazi kuwa hakimu ni rafiki yake hivyo atamsaidia.
Sababu za mama kutaka kuuza nyumba ni ushawishi toka kwa mdogo wake ambaye alishaiba hati wakati baba anaumwa ilikuwa bank alimshikia rafiki yake mdhamana kwa kesi ya mauaji na alishinda kesi mama mdogo akachuku hati akaichukulia mkopo nyumba ikauzwa na bank ila baadae ilirudishwa baada ya kustakiana na mama yetu. sasa mama mdogo amerudi anamshawishi mama auze wafanye biashara ilhali mama hana uwezo huo, Naombeni msaada je file linaweza kupotea mahajamani?,na tutafanyaje tupate haki mana mirathi pekee ndio inathibitisha nyumba ilinunuliwa na baba.
Kwa ushauri ako tunaufanyia kaziMsimkubalie huyo mama akauza Mali .
Wanawake wana akili ndogo Sana you have to control her .
Afikirii mbali
Ni kweli tuna mali zetu lakini hii nyumba ni mali ya famili n sio nyumba tuh kuna na mshamba ambayo bab aliacha alitaka kuyauza kinyemel ila ndugu wa bba wakakataa.Kama Mna maisha yenu na mna Mali zenu, muache huyo mama afanye anachohisi ni sahihi .
Sifikirii Kama ni sahihi kugombana kisa hizo takatakata ambazo ni useless.
We tengeneza Maisha yako yasimame Mali kitu gani
Mama yako ana miaka mingapi na wewe ni KE au ME ?.Asnte
Kwa ushauri ako tunaufanyia kazi
Mama Ana miaka mingapi na nyie wewe ni KE au ME ?Ni kweli tuna mali zetu lakini hii nyumba ni mali ya famili n sio nyumba tuh kuna na mshamba ambayo bab aliacha alitaka kuyauza kinyemel ila ndugu wa bba wakakataa.
Lakini wamuulize akiuza atakaa wapi kama sehemu ya kukaa ina shida kiuhuru,basi wamuhoji anyooshe maelezo asijekwenda kujibana kwa mtu.Haya mambo ndiyo yanayotufanya wazaramo tuonekane hatuna akili .
Sasa mali aliachiwa mama kama msimamizi ,yeye kawalea na sasa mpo kwenye familia zenu ikiwa anahitaji kuuza mali ya mmewe ninyi inawahusu nini ninyi mashangingi wa mjini
Ana miaka 74, mimi ni ke,Mama yako ana miaka mingapi na wewe ni KE au ME ?.
Fanyeni namna yoyote mumzuie mama yenu mdogo kuingilia mambo ya familia yenu?Yeye hana familia yake?Mimi sijata
Ka mali wala sijawah kuenda mahakamani nimeitwa zaidi ya mara 3 sikuona sbb ya kwenda, kilichonifanya niombe msada ni hali ya mama ya afya ya akili na mwili, na ni baada ya kutaka kuuza nyumba ya zaid ya mil 250 kwa mil 80, na umri wake ni mkubwa hawezi kufanya biashara wala chcht nyumba hy ndio msaada kwake, na mshauri wake mkuu ni mdogo wake wa kike ambaye alishawah kufoji signatir akachukua mkopo wa nyumba hy hy ikaja kuuzwa na bank. Lengo sio kumdhulumu wala kugombea msli ila ni kuhakikishs hakuna utapeli unafanyika dhidi yake na familia kwa ujumla mana mirathi yeye ni msimamizi na mmiliki pia.
Okay pole SanaAna miaka 74, mimi ni ke,
Niko kwangu
Tunaye kaka mmoja ambaye kwa sasa maisha yake yameyumba hivyo anamshawishi mama auze nyumba ya familia ampe mtaji, hata hivyo hajawah kukanyaga mahakamani zaidi alitutumia ujumbe kwa simu kuwa nyumba inauzwa.
Fanyeni namna yoyote mumzuie mama yenu mdogo kuingilia mambo ya familia yenu?Yeye hana familia yake?
Dunia ngumu sana hiiHapo mama yenu akishauza nyumba baada ya muda ataishiwa arudi kwenu asaidiwe. Msipomsaidia atasema ametelekezwa
Hajui uzito wa kukojolewa huyu kama mke na mme achana na hyo tamaa mwachie b mdg aendelez familianya baba mwengnYaani umeolewa unataka mali ya mama yako alioachiwa na mme wake na akawalea yeye kiwa single mother hadi mkaolewa na wewe uza nyumba ya mmeo dadeki kitoto vya Kinondoni kijinga sana
USSR