Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.

Sister Abigail

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,329
6,922
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto.

I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye kusudi, na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi.

Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina, sijabahatika kupata mwenza mwenye utu, uelewa na changamoto ni nyingi sana. Siwezi kuelezea zote.

Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve, nimekuwa na disability. Mojawapo imenipata ukubwani so mahusiano na mapenzi, sijui dates mi siwezi, nimezoea kuishi bila mwanaume.

Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha, atakuwa kampani na rafiki kwangu, ndugu pia msaada In the future.

Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati, nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mtu mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako, mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto

Mimi Sina kipato, najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-Naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili, muda, kujali,nk
- Hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.

Mengine mengi tutajuzana na muhusika

Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
 
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu
Na kunisaidia kuishi Maisha yenye kusudi,na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi

Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina,sijabahatika kupata mwenza mwenye utu,uelewa na.changamoto ni nyingi sana.siwezi kuelezea zote.
Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve,nimekuwa na disability.mojawapo imenipata ukubwani.so mahusiano na mapenzi,sijui dates mi siwezi,nimezoea kuishi bila mwanaume.
Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha,atakuwa kampani na rafiki kwangu,ndugu pia msaada In the future.

kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati,nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mru mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako.mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto
Mimi Sina kipato,najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili.muda,kujali,nk
- hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.
Mengine mengi tutajuzana na muhusika

Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
Nipo hapa
 
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.

I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye kusudi,na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi

Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina,sijabahatika kupata mwenza mwenye utu,uelewa na.changamoto ni nyingi sana.siwezi kuelezea zote.

Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve,nimekuwa na disability.mojawapo imenipata ukubwani.so mahusiano na mapenzi,sijui dates mi siwezi,nimezoea kuishi bila mwanaume.

Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha,atakuwa kampani na rafiki kwangu,ndugu pia msaada In the future.

Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati,nae awe na uhitaji huo.

Mungu akupe hitaji la moyo wako rafiki.
 
Du! Hii inaumiza mbona. Huenda bado kuna wanawake Ni bado tu hatujawahi kukutana nao
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom