Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,845
- 27,270
You may think women are everywhere until you start looking for a wife.
Kama unahitaji mrejesho, usijali utaupata kiongozi.Halafu ukimpata huyo mwenza wako asiye na mtoto, na bahati mbaya mmoja wenu kati yako au yeye akawa ni tasa! Utakuja kutupatia mrejesho?
Sperm donar huhitaji kujua historia yake.??Nilitafuta sperm donar sio mwanaume wa kunioa ningetaka mwanaume wa kunioa ningewashirikisha wazee wangu, nisingekuja mtandaoni lakini hayo yalikua maoni yangu unaweza kuendelea kuchakura chakura huenda ukajipatia fupa lako ukawa unaliramba ramba, lol✌️
Watu humu hawaelewi kiongozi, wao wanadhani ukiandika unahitaji mke basi wanadhani huwezi tongoza watoto wa elfu 2 😂😂.You may think women are everywhere until you start looking for a wife.
Kwasababu wanaume waharibifu sana, wakati nyie mnasubiri yaive wao walikuwa wanahangaika na mawe kila siku kupopoa maembe wale na chumvi.Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Mbona una mipasho sana ndugu mtafuta mchumba kwemaaa😂Sperm donar huhitaji kujua historia yake.??
Kuna namna nyingi za kupata mwenza, kama nilivyokwisha kuelimisha hapo juu. Si ajabu hata hao unaoenda kuwaambia wakutaftie wao hawakutafutiwa.
Kama ulichakura chakura na ukapata wa kukupa mimba bila shaka hata mimi nitapata.
Ninaetaka mke ni mimi sio wao.
Kila la kheri mkuuMambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno.
Kupata mwenza asie na mtoto anaejielewa ni ngumu mno mnooo.
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kama kuna mwanajf asie na mtoto tunaweza anza safari itakua njema zaidi.
Niko Dar es salaam
Ni muajiriwa.
Nina 30 yrs.
Nahitaji mwenza asie na mtoto.
Hebu naomba nisanue huyu kinyonga ni nani? Anatukana watu na anataka mke mwema lol😁Mbona una mipasho sana ndugu mtafuta mchumba kwemaaa😂
Yaan umecatch feelings kwa haraka hadi nimekuhurumia, kwa uzoefu wa kukaa jf zaidi ya miaka 10 nimeiona multiple ID na nimekushajua lol, nikutakie uchakuraji mwema wa mke hapa JF utualike harusi🥂💃
Hahahaha njoo pm nikupe ubuyu mchachuuuuuuuuu, watu wana mastress we acha tuHebu naomba nisanue huyu kinyonga ni nani? Anatukana watu na anataka mke mwema lol😁
Woiii on ma way babee😍💃🏽Hahahaha njoo pm nikupe ubuyu mchachuuuuuuuuu, watu wana mastress we acha tu
Ndio kimbilio lenu girls, mkipewa jibu sahihi mnaita "mipasho".Mbona una mipasho sana ndugu mtafuta mchumba kwemaaa😂
Yaan umecatch feelings kwa haraka hadi nimekuhurumia, kwa uzoefu wa kukaa jf zaidi ya miaka 10 nimeiona multiple ID na nimekushajua lol, nikutakie uchakuraji mwema wa mke hapa JF utualike harusi🥂💃
Asante mkuu.
Napita mkuu.Pitia Huku huwezi kukosa Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba
Hahahahaha wewe ndio maana hupati wachumba hata mtaani kwenu, una taarabu sana, wanawake wanaojielewa hawawezi kudate na mwana mipasho halafu broke, nakupa siri ishi nayo hiyoo (ulivyo ndezi utaendelea kubinua midomo hapa, lol) naenjoy sana 💃💃Ndio kimbilio lenu girls, mkipewa jibu sahihi mnaita "mipasho".
Umecatch feelings wewe mkuu, am normal.
And Yes, nakujibu vile unakuja.
Sina multiple ID, kama unahisi ninayo nyingine waombe mods waiunganishe.
Mkuu nimepost, wewe ndo umekuja kureply, napokea ushauri wako but still unaniandama.Hahahahaha wewe ndio maana hupati wachumba hata mtaani kwenu, una taarabu sana, wanawake wanaojielewa hawawezi kudate na mwana mipasho halafu broke, nakupa siri ishi nayo hiyoo (ulivyo ndezi utaendelea kubinua midomo hapa, lol) naenjoy sana 💃💃
Hakika Mkuu Kinachotakiwa afanye uchunguzi kwa kina na kwa hekima akishajiridhisha aende nyumbani kwa wazazi /walezi wa huyo mwanamke akajitambulishe kwa heshimaNataka nikushauri ushauri ambao ukishindwa kuufanyia kazi basi ndo basi tena. Fanya hivi, tafuta mwanamke mzuri mtaani kwako ambaye kwa tabia unaona kabisa kuwa wife material,usimtongoze, ulizia kwa majirani kuwa huyu binti ameolewa ama la, ana mtoto au hamna, ikiwa amekithi vigezo nenda kwa wazazi wake kuchumbia,niamini mimi hakuna msichana anaekataa kuchumbiwa. Lakini huyohuyo msichana ukimtongoza mtaani na kuonesha nia ya kumuoa hawezi kukubali. Ahsante na naomba mrejesho baada ya mafanikio. Kwako kaka mkubwa Manyanza