Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,248
- 40,261
Changamoto ya ombaomba ina historia pana nchini mwetu. Ilishawahi kuwa maarufu sana mjini. Wahenga wenzangu nafikiri mnamkumbuka legend mmoja hivi anaitwa Matonya. Alikua ombaomba maarufu mpaka kufikia hatua ya ombaomba wote kuitwa Matonya. Serikali ilichukua hatua kudhiti hili suala kwa kuwarudisha hawa ombaomba mikoani kwao.
Kwa sasa kuna kundi jipya la ombaomba limeibuka kwa kasi, nalo ni mabinti na wanawake. Wakati zamani tulishazoea kuona ombaomba ni walemavu na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kwa sasa ombaomba ni mabinti wanaoishi na wazazi wao pamoja na wanawake watu wazima wenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya shughuli za uzalishaji.
Katika mahusiano hali imekua mbaya kufikia hatua imekua ngumu hata kuanzisha mahusiano ya maana. Utakamsalimia mwanamke na kubadilishana mawasiliano tu. Kuanzia hapo ni kama ume-adopt mtoto yatima. Utavulumushiwa mizinga kama zile ballistic missile za Iran zilizokua zinapiga Israel. Mpaka unaanza kujiuliza huyu mtu hana wazazi au ndugu? Alikua anasihi vipi kama hatujakutana?
Sisi wenyewe tunaweza tukachukulia hali ya kawaida na tukakubali kuishi nayo, lakini hii trend ya wakina dada kuombaomba imeanza kuvuka mipaka ya nchi. Kuna interview ilisambaa siku za hapa karibuni mzungu anawashutumu dada zetu ni ombaomba.
Nilishawahi kukutana na wazungu club ya warm up, mkoani Iringa. katika mazungumzo ya hapa na pale walisema dada zetu ni ombaomba. Nina rafiki yangu wa utotoni ni mtu wa Botswana, alikuja Tanzania kunitembelea mwaka jana akakaa nyumbani kwangu wiki moja. Katika mazungumzo yetu alisema dada zetu ni ombaomba.
Kwa kifupi mwanaume yoyote ambae ni raia wa kigeni ana uzoefu wa interactions na hawa dada zetu. Ukipiga nae story lazima suala la kuombaomba litajwe. Siku sio nyingi tutaanza kujulikana kama "taifa la wanawake ombaomba" , ni aibu
Ombaomba hawa wamefika mbali kwa kufikiri kwamba ni haki yao kupewa. Ni kama kuna fikra zimepandikizwa vichwani mwao kwamba jinsia yao ni nyenzo ya kupewa hela za bure. Mtu hajakufanyia kazi yoyote, hajakusaidia kutafuta, out of nothing anajiona ana haki ya kupata gawio kwenye hela yako kwa sababu tu yeye ni mwanamke. This is very disgusting.
Imefika hatua madogo wa kiume wanaona ni bora kununua kuliko kuanzisha na ku-maintain mahusiano. Hali ilipofikia kwa sasa kuwa boyfriend ni expensive zaidi ya kuwa mzazi.
Somewhere somehow lazima kitu kifanyike. Especially kwa wazazi wa watoto wa kike. Tuzingatie malezi tunayowapa mabinti zetu. Kuombaomba ni fedhea, na hakuna ombaomba anaeheshimika.
Ombaomba hawa bila shaka hata hapa jf wapo. Ukisoma comment zao utawajua tu. Ukweli huwa unauma