venancehamza
Member
- Jun 8, 2025
- 33
- 58
- Thread starter
- #41
Sio nahisi, sihisi ni halisi.Huenda hitaji lako ni kua vizuri kiuchumi ila kwa sababu hujachanga karata vizuri unahis unachohitaji mke!
Sio nahisi, sihisi ni halisi.Huenda hitaji lako ni kua vizuri kiuchumi ila kwa sababu hujachanga karata vizuri unahis unachohitaji mke!
Sawa.Ni rahisi sana, kaangalie afya yako ya akili, Mimi Nina 52 na ninaishi na Graduate / Masters / CPA mwenye 28 years
Labda namna ya kuielezea ndio kidogo ina changamoto.Mkuu mimi jana nilileta mada kama hii ya mwanaume ukiwa 30s kupata mke ni ngumu, Aise nilisimangwa,kubanangwa na kutindinganywa vibaya sana
Niko serious sana wala sio kidogo, unaposema wote, wote wa wapi, mimi sipo kote mkuu.Mmh mkuu Yani miaka 30 unataka useme umekosa asiekua na mtoto?kwamba wote 19-25 tayari Wana watoto?emu kua serious kidogo au ndo Ivo hela huna wanakukataa kwa sababu hawaoni wanachopata kwako,njoo uku Tanga utaondoka na basi Zima kikubwa anauhakika wa kupata Milo 3 kwa siku ata kama asbh anakula vipande vyake vya mihogo vitatu.
Silaha huandaliwa wakati wa amani bwashee!Sio nahisi, sihisi ni halisi.
Inategemeana na aina ya silaha joh.Silaha huandaliwa wakati wa amani bwashee!
😂😂😂 aaah weeNgoja iwe reversed, wachukue wenzio kwako 😅
Bila shaka wamefungua uzi bila kujua wapo jukwaa gani.Kwa hiyo mnaompinga jamaa mna maanisha hilo jukwaa alilopostia uzi wake lifutwe au ni ujuaji tu🤔
Mfilisiti hakuna jinai kwa hiki ninachokifanya hapa, kwa namna maelezo yako yalivyo ni wazi umekwazika pasi na sababu ya msingi.Mara nyingi mwanaume wa hivi ana low self esteem.
Jamaa anadhani jinsi anavyoishi yeye basi Tz nzima tunaishi hivyohivyo.Tembea uone jinsi watu walivyo bize na kazi mpaka wanaishia kutafuta wenza kwenye social media na wanawapata, tatizo lenu ushamba🚮
Badili mindset mkuu, sio wote tupo kama wewe, tunaishi kama wewe uishivyo, una ndgu kijijini na wajomba mjini.utanipinga lakini huu ndio ukweli, achana na huko kwenu Duniani.
Mtu kaajiriwa- huko makazini hamna wadada?
Nyumbani- Majirani hamna wadada.
Kijijini kwenu- hamna??
kwani profile hiyo imekaaje au CV ni mbovu kiasi gani.
Mwisho: Ukiona wadada hawana time na wewe ongeza juhudi ya kujitafuta. hao viumbe wanaangalia una nini mkononi.
Dahh mkuu huyu mtoto kabisa napeleka wapi mimi, nina watoto watano, wengine wamefika chuo, katakimbia haka😅
Aongeze kipi? Mi simtaki huyu shem🤣 Anafurahisha genge hakuna mkalimilifu chini ya jua😂Shem Seran . 🤣🤣🤣
Huyu inabidi umpate ili umfundishe mapenzi.
Ila atapata hitaji la moyo wake.
Alaf kigezo ni kimoja tu.
Kutokuwa na mtoto.
Jamaa amenyooka.
Kama yuko serious kweli. Basi namshaur aongeze vigezo.
Nyigu.com una kataa nini, akati ka una kulaga maini😅😂😂😂 aaah wee
Sawa, achana na mambo ya udomo zege ila washirikishe wazee/familia yako kuhusu hilo wape sifa unazohitaji wataletwa kama wote, haya mambo ya mitandaoni ndio maana malalamiko kwa vijana ni mengi, watu mnabebana bebana tu bila kujua backgrounds za koo zenu.Sio domo zege, maeneo tunayoshinda na ninaokutana nao tunatofautiana mitazamo.
Asante kwa ushauri wako, zama zimebadilika, zamani mtu mpaka anafika umri wa kuoa/kuolewa bado anaishi nyumbani ila sasa mtoto akifika umri fulani anaanza kucheza na shule na/au utafutaji mpaka umri wa kuoa au kuolewa, hivyo jamii yake inakua haimjui kama anavyojifahamu yeye.Sawa, achana na mambo ya udomo zege ila washirikishe wazee/familia yako kuhusu hilo wape sifa unazohitaji wataletwa kama wote, haya mambo ya mitandaoni ndio maana malalamiko kwa vijana ni mengi, watu mnabebana bebana tu bila kujua backgrounds za koo zenu.
Nilitafuta sperm donar sio mwanaume wa kunioa ningetaka mwanaume wa kunioa ningewashirikisha wazee wangu, nisingekuja mtandaoni lakini hayo yalikua maoni yangu unaweza kuendelea kuchakura chakura huenda ukajipatia fupa lako ukawa unaliramba ramba, lol✌️Asante kwa ushauri wako, zama zimebadilika, zamani mtu mpaka anafika umri wa kuoa/kuolewa bado anaishi nyumbani ila sasa mtoto akifika umri fulani anaanza kucheza na shule na/au utafutaji mpaka umri wa kuoa au kuolewa, hivyo jamii yake inakua haimjui kama anavyojifahamu yeye.
Kuna uzi wako pia ukitafuta mwanaume humu na sio kwa ndgu zako, bila shaka unafahamu kua kila mmoja ana sababu zake za kufanya hivyo kama ulivyokua nazo.
Halafu ukimpata huyo mwenza wako asiye na mtoto, na bahati mbaya mmoja wenu kati yako au yeye akawa ni tasa! Utakuja kutupatia mrejesho?Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno.
Kupata mwenza asie na mtoto anaejielewa ni ngumu mno mnooo.
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kama kuna mwanajf asie na mtoto tunaweza anza safari itakua njema zaidi.
Niko Dar es salaam
Ni muajiriwa.
Nina 30 yrs.
Nahitaji mwenza asie na mtoto.
huyo jamaa anarahisisha mambo sana, aende hata fb huko kuna magroup ya kutafuta wachumba. siyo wajinga waleUonaongea ujinga waambie jf wafute hicho kipengele cha love connect kama una akili sana
Yeah kwa dunia ya sasa mitandao ina rahisisha kila kituhuyo jamaa anarahisisha mambo sana, aende hata fb huko kuna magroup ya kutafuta wachumba. siyo wajinga wale
exactlyYeah kwa dunia ya sasa mitandao ina fahisisha kila kitu