venancehamza
Member
- Jun 8, 2025
- 33
- 58
Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ...
Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta.
Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno.
Kupata mwenza asie na mtoto anaejielewa ni ngumu mno mnooo.
Ni kama haiwezekani, kila unapogusa ni ana mtoto/watoto tena sometimes watoto wakubwa kabisa asiee wako sekondari.
Kama kuna mwanajf asie na mtoto tunaweza anza safari itakua njema zaidi.
Niko Dar es salaam
Ni muajiriwa.
Nina 30 yrs.
Nahitaji mwenza asie na mtoto.