Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Madam Seran kazi za Mara hakuna nimepita Uzi wote kazi nyingi zipo nje ya mkoa huu ningepata kama ya kusimamia Nyumba, mashamba, ingekuwa nzuri sana Mimi ni me darasa la 7
Kweli kabisa,
Eti, we mshangazi(Seran) hebu tubless tusio na elimu, tusio na pakula, tusio na pakulala, tusio na pesa, tusio na mke,mpenzi wala demu, pia tusio kazi. Tupate kazi basi.
 
Jamani unagombeza🫢 huko kazini si ndio na vibao juu!
Sijamgombeza, nimekwambia ukweli Kuna nafasi ya HR hapa, ilikuwa unataka mtu mwenye uzoefu wa mwaka mmoja.


Msharaha 1.2m

Nimemuuliza jamaa tangu Jumatano, yeye anakuja kunipa majibu Ijumaa jioni. Kweli????
 
Back
Top Bottom