Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

BANGO: NAFASI ZA KAZI MOSHI
🔴 KWA WANAWAKE TU 🔴

📍 Location: Moshi Mjini
_Pana tipu nyingi sana pia Mazingira mazuri

1. 👩‍🍳 WAHUDUMU - 8
Mshahara: Tsh 170,000/=

2. 👩‍💼 SUPERVISOR - 1
Mshahara: Tsh 400,000/=

3. 👩‍💻 CASHIER - 1
Mshahara: Tsh 200,000/=

📞 Kwa Mawasiliano Zaidi Piga:
0795870299
0704886180

Wasilisha sasa! Nafasi ni chache
 
📢 NAFASI YA KAZI – DAR ES SALAAM

📍 Eneo: Mbezi, Dar es Salaam
🏠 Kazi: Housekeeping
👩 Mwanamke 1 anahitajika

✅ Umri: Kuanzia miaka 30
💰 MSHAHARA MNONO SANA!
✨ Mwombaji awe mwaminifu, msafi na mwenye bidii.

📞 MAWASILIANO:
0795 870 299
0704 886 180

⚡ NAFASI NI MOJA TU — USIKOSE!
 
43047338-A06A-4073-AD8D-C70557CDC8F7.jpeg
 
Ajira na Biashara available positions

1_Wanahitajika vijana jinsia zote kufanya kazi kiwandani kigamboni
(Packages kwa wanawake)
Mshahara ni kulingana na kitengo
Range 230,000-300,000(Bado kuna nafasi 4)

2_Vijana wa kufanya kazi kiwanda kipya cha unga keko
Posho kwa siku 10,000-15,000
Majukumu: kujaza na kubeba

3_Vijana wa kiume tu kampuni la hardware vingunguti
Posho kwa siku 20,000-25,000
Majukumu kushusha na kupandisha hardware kama mbao na magodoro

4_Vijana wa Ulinzi Temeke Mshahara 300,000(Mpya)
Ukiwa hujapita jkt wala mgambo
200,000-250,000
Vijana wa kufanya kazi ya ulinzi Zanzibar mshahara 350,000
Full accommodation

5_Wadada wawili wa kuhudumia hotel Kigamboni mshahara 150,000
Pa kuishi papo…

Wasiliana na huduma kwa wateja wa ajira na biashara kwa namba hizi 0799529422(WhatsApp)
Au 0725 110 177(kwa siku za kazi tu)
Au fika ofisini moja kwa moja kigamboni sido jumatatu kuanzia saa2 asubuhi
 
Akshar Mining Services Ltd

Location: New Luika Gold Mine, Songwe

Positions:
  • Drillers – 5
  • Mechanic (Drill Rig Machines) – 5
  • Auto Electricians – 5
  • Boiler Makers – 4

Requirements:
Updated CV, relevant certificates, passport photo, valid driving licence, and at least 5 years’ experience.

Apply by: 10th September 2026
Email: hr.singida@aksharminingtz.com
 
Location: Kilimanjaro Region

Available Position:

Chemical Engineering (Female)

✅ Applicant Requirements
Must hold a Bachelor’s Degree in Chemical Engineering, or a Bachelor's in chemical and process engineering from a recognized institution.

Strong technical knowledge and ability to work in an industrial plant environment.

Commitment, discipline, and willingness to contribute to production efficiency.

📩 How to Apply
Interested candidates should send their CV via:

Email: fshoni@gmail.com

WhatsApp: 0717377980
 
Wanahidajika Waitress Hotelin kigamboni-kisiwani
Mshahara: 150,000
Kukaa palepale ukiwa mkoani unaruhusiwa kufika✅

Fika ofisi za ajira na biashara kigamboni kesho saa3 au unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hizi 0725 110 177
0799529422


Wanahitajika wadada wawili wa stationary
📍kijitonyama
Mshahara: 250,000
Ukiwa na uzoefu 300,000

Uwe unaishi kijitonyama au maeneo jirani

Mawasiliano 0799529422
0725 110 177

Anahitajika Human resource Manager
Jinsia KE
Mahali: Mikocheni
Awe na Bachelor degree HRM
Angalau uzoefu wa mwaka mmoja
Mshahara: 700,000

Una vigezo fika ofisi za ajira na Biashara zilizopo kigamboni ukiwa na Cv yako au mawasiliano zaidi 0799529422
0725 110 177
 
MEKANIX TANZANIA LTD

JOB:FIELD SALES OFFICERS(SELLING THREE WHEELER VEHICLES(BAJAJ)

POSITIONS:5

AREA OF WORK 😀AR ES SALAAM

QUALIFICATIONS;

BACHELOR OF MARKETING
3 YRS EXPERIENCE IN SALES 3 WHEELER VEHICLES
RESULTS ORIENTED

MODE OF APPLICATIONS:Send only CVS don't call: 0716 340351

Deadline: 10 sept 2026

NOTE😀on't send your CV if you Dont have experience of 3 yrs and above in the same position.
 
Ajira na Biashara available positions

1_Wanahitajika vijana jinsia zote kufanya kazi kiwandani kigamboni
(Packages kwa wanawake)
Mshahara ni kulingana na kitengo
Range 230,000-300,000(Bado kuna nafasi 4)

2_Vijana wa kufanya kazi kiwanda kipya cha unga keko
Posho kwa siku 10,000-15,000
Majukumu: kujaza na kubeba

3_Vijana wa kiume tu kampuni la hardware vingunguti
Posho kwa siku 20,000-25,000
Majukumu kushusha na kupandisha hardware kama mbao na magodoro

4_Vijana wa Ulinzi Temeke Mshahara 300,000(Mpya)
Ukiwa hujapita jkt wala mgambo
200,000-250,000
Vijana wa kufanya kazi ya ulinzi Zanzibar mshahara 350,000
Full accommodation

5_Wadada wawili wa kuhudumia hotel Kigamboni mshahara 150,000
Pa kuishi papo…

Wasiliana na huduma kwa wateja wa ajira na biashara kwa namba hizi 0799529422(WhatsApp)
Au 0725 110 177(kwa siku za kazi tu)
Au fika ofisini moja kwa moja kigamboni sido jumatatu kuanzia saa2 asubuhi
Cc: Poor Brain
 
Back
Top Bottom