ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,605
- 48,219
Mimi humu kila mtu ni mume wangu aisee nachanganyikiwa😃😃😃Unaoa kila kukicha una tabu wewe😂
Mimi humu kila mtu ni mume wangu aisee nachanganyikiwa😃😃😃Unaoa kila kukicha una tabu wewe😂
Ulilewa nini hasa? Hahaha hongera kupata mke mbaga😂Kama Niliwah kusema nna mke mwngn zaidi ya ShesRise_1 bc tambua nilikuwa nmelewa 😎
Inasikitisha sana mkuu 🙆Pole msukule wetu🤣
Eh 😂Namba yako ninayo usijali na siingii kila mara huko😅
Bahati wakati ni mwendo wa kuitwa malaya😁Una bahati sana ni mwendo wa kujichagulia tu! 😅
Eh bc tuachane sitak kufa kwa maumivu ya mapenzi, mm Siwez competition na matajiri 😭Mimi humu kila mtu ni mume wangu aisee nachanganyikiwa😃😃😃
Mm nitoe hapo kwenye kukuita malayaBahati wakati ni mwendo wa kuitwa malaya😁
Matajiri gani 😁Eh bc tuachane sitak kufa kwa maumivu ya mapenzi, mm Siwez competition na matajiri 😭
Wewe huna nomaMm nitoe hapo kwenye kukuita malaya
AsanteUlilewa nini hasa? Hahaha hongera kupata mke mbaga😂
Mm ndo nmekushika 😎Matajiri gani 😁
Kwanini tuachane tumeshikana kwani😏😂
Najali sasa 😁😁Unajikaza tu mtu mmoja ndio akuumize kichwa😃
Eeh Mungu kuchagua huko😃Matajiri gani hebu wataje tukajichagulie siye😅
Mfano ukijua jamaa ako anatembea Na girl mwngn bc tambua huyo girl amekuzidi kitu fulani.Matajiri gani hebu wataje tukajichagulie siye😅