Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,802
- 128,095
DuhSijamgombeza, nimekwambia ukweli Kuna nafasi ya HR hapa, ilikuwa unataka mtu mwenye uzoefu wa mwaka mmoja.
Masharaha 1.2m
Nimemuuliza jamaa tangu Jumatano, yeye anakuja kunipa majibu Ijumaa jioni. Kweli????
Ila bro upo sahihi, ukiwa huna ajira inabidi mtu achangamke mno, asifanye mistakes yoyote ile.
Ila kama kuna namna unaweza kumsaidia bc fanya hvy mkuu