Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,846
- 100,013
- Thread starter
- #1,281
Hahah kwa ninavyojikubali, my pride can’t 💃🏽Mfano ukijua jamaa ako anatembea Na girl mwngn bc tambua huyo girl amekuzidi kitu fulani.
Nyinyi mnaolala mpaka na house maids wananuka jasho ndio nianze kuji question? Never👆🏽
Hahahhaa ujingaaa!!Sasa kama mwanamke wangu akiwa na maboy wngn hvy hao maboy wamenizidi kwenye pesa tuu, mambo mengine hawawezi kunizid 😎
Ndo point yangu 😎