Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,067
- 87,081
- Thread starter
- #481
📢 TANGAZO LA KAZI 📢
TIN VIBE PUB
Inatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa vinywaji.
Idadi ya Nafasi:
Wafanyakazi WAWILI (2)
SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe na umri kati ya miaka 20 hadi 26
2. Awe mwaminifu na mwenye nidhamu
3. Awe nadhifu, mrembo na mwenye mawasiliano mazuri
MALIPO NA MANUFAA
ENEO LA KAZI
Mbunyuni, ukiwa unaelekea Sala Sala, karibu na Sheria ya Puma
MAWASILIANO
Wasiliana na Meneja kupitia simu:
📞 0629 386 452
Asanteni, Karibuni Kuomba Kazi
TIN VIBE PUB
Inatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa vinywaji.
Idadi ya Nafasi:
Wafanyakazi WAWILI (2)
SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe na umri kati ya miaka 20 hadi 26
2. Awe mwaminifu na mwenye nidhamu
3. Awe nadhifu, mrembo na mwenye mawasiliano mazuri
MALIPO NA MANUFAA
- Mshahara: TZS 80,000 kwa mwezi
- Posho ya kujikimu: TZS 2,000 kwa siku
- Malazi bure (chumba na vifaa vya kulalia vinapatikana)
ENEO LA KAZI
Mbunyuni, ukiwa unaelekea Sala Sala, karibu na Sheria ya Puma
MAWASILIANO
Wasiliana na Meneja kupitia simu:
📞 0629 386 452
Asanteni, Karibuni Kuomba Kazi