Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Mwalimu "Nursery Teacher"

SIFA
●Mwenye Diploma
●Ambae anaweza kuwa Mwalimu mkuu
●Akiwa na uzoefu atapewa kipaumbele

Nyumba ya kuishi ipo na chakula bure/Au kwenda na kurudi

MSHAHARA 400k/Mapinga Bagamoyo

Shule ina primary kuanzia 1 mpaka 2

Piga = 0742 275 242
 
1B072ACA-2884-4469-9991-CB4E063F5750.jpeg
 
Back
Top Bottom