Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,404
- 88,866
Ndo nimeamkaHulaliii?
Ndo nimeamkaHulaliii?
mimi namuanzishia ZoeHivi mimi ndiyo sina kabisa crush humu jamani? Si mtoto wa mtu anikufie na mimi anianzishie na kauzi?
nitagSijui huwa anawazaga nini yaani.
Huwa nafikiria sipati majibu.
Kuna uzi alifunguliwa,Title ilikuwa"neno moja kwake..."
Nilicheka almanusura nizimie[emoji1787][emoji119]
hahahahahahhahahahahaaha hahahaha hakuna uzi amewai kukubaliana nao yy ni mpingaji tuu......Mimi ananishangaza anajua hadi ligi za mchangani duniani kotee
zoe aachane nalo...jina linaringa lile bora abaki na karma tuuOna sasa
Tatizo hutaki kufwata ushauri wangu wa kulirudia Marianah au lile jingine
hahahahahhahahahaahahhaha umenikumbusha zamani kuna mtu nilimla saund akasema tuwe dada na kaka nikamwambian dada ninao wengiYesu wangu!
Asiwe tu ninayemfikiria[emoji40]
Simkubali[emoji19]
Jina lake hapa lina initial sawa na lile jina langu halisi???
Mimi wangu sijui ni jini yule [emoji848] ,hata mimi sielewi yaani[emoji86] matendo yake ya kijeshi sio jeshi,jini siyo jini hadi nikaogopa
Hayo ni matendo ya id tu
Nilitokea kumkubali sana aiseee..sijui hata kwa nini.
Nitaendelea..ngoja nile ugali nipate nguvu.
Mimi tofauti na wewe,nilimkubali ile siyo ya kaka..kaka wananitosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
gUwii initial ya jina lako halisi? Mbona sina mwanaume ninayemkubali humu anayeanzia na hiyo initial?
Mimi ni initial nyingine tu! Yaani nakuambia hakuna atakayeweza kuotea hata initial na hata mkimjua wote mtabaki midomo wazi!
Mimi kwa kweli sina makaka! Hivyo mwanaume yeyote nitakayemuambia namkubali humu ajue tu kuwa namkubali kama kaka!
Hebu kwanza na Wewe niambie huyo wako anaanzia na initial gani
mzee wa chura hahahahhaHuyo S unamaanisha Samcezar au? Uwii huyo ndiyo kabisaaa hata sijawahi kumfikiria!
Huyo B ni nani mbona sijampata? Hakuna hata mmoja hapo mkuu yaani ni ngumu kumjua!
hahahahahahahahha hata akichanganya anatoa broken EnglishDuh aiseee
Nitachosha ubongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule wangu yeye anabishanaga na watu,
Majukwaa yote yupo ila si sana..
Huwa hatabiriki,kuna muda anakuwa upande wa serikali,kuna muda anaiponda.
Anapendaga kuchanganya kiingereza na kiswahili japo hata akichanganya bado anatoa broken English.
Mods walipita nao kitambo[emoji23]
La Marianah lilikuwa powazoe aachane nalo...jina linaringa lile bora abaki na karma tuu
karma is bae[emoji8][emoji8][emoji8]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahahahhahahahaahahhaha umenikumbusha zamani kuna mtu nilimla saund akasema tuwe dada na kaka nikamwambian dada ninao wengi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Pension yangu ni halali yake. Mjukuu wangu anakupenda sana. Ndo maana anataka uwe mmojawapo wa wanufaika wa pensheni...😀😀 mjukuu wako anataka kukuibia pension yako kwa kusema uongo babu Joanah .usimsikilize tafwazali
Babu yake J ni bora hiyo pension ukala na bibi mwenye akili nyingi.Pension yangu ni halali yake. Mjukuu wangu anakupenda sana. Ndo maana anataka uwe mmojawapo wa wanufaika wa pensheni...
Sema neno moja roho yangu ipone basi
Khaa zote hizo? Hebu ridhika eti!Si 3 tu zilee....hahahaha angalau zifike hata 5 basi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]