My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.

Malume

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
605
1,000
Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my heart, sina uhakika kama unajua kwa sababu sijawahi kukutamkia, whenever i log in here, the first person to look for is you, huwa naangalia umecomment nini, umelike kwa nani, na nani amekumention, naweza kuingia JF mwezi mzima nisiseme chochote, nakuangalia tu wewe naona furaha

You are a beautful soul, a real woman, wife material, a mother, smart, and God fear.

Kuna wakati huwa natamani nikuibukie PM ila naogopa, najua umeolewa na una familia, huwa hujichanganyi sana hapa jukwaani na huwa huchangii kwenye nyuzi zenye matani mengi

Ni mshauri mzuri sana, you respect everyone na sio rahisi ukwaruzane na watu.kuna wakati huwa unapoa kabisa kama vile haupo, sijui nikuambiaje wewe mwanamama, nakupenda hadi nahisi kupoteza fahamu, kila nikijitahidi kukutoa akilini mwangu nafeli

Kuna wakati nilikutumia PM za salamu, hukuwahi kunijibu hata moja wala hukuonyesha kujali.niliumia sana, nilikata tamaa ya kuendelea kukutafuta PM na sikua hata na ujasiri wa kueleza hisia zangu juu yako, tatizo ni kwamba you are too perfect kila nikiangalia sioni dosari yako

Huwa nasikia wivu nikiona mtu amekusifia au amekumention kwa jambo lolote, tena nikiona kidume amekuwekea emoj za love basi hali ya hewa huwa inabadilika hata nyumbani huwa sitaki hata wife anisemeshe. natamani ningekua nakumiliki wewe, nikuchunge na kukuficha

Aaah siwezi kuendelea kusema ila leo nimeamua nitoe ya moyoni labda nitapata ahueni.I do admire you secretly mama.

Karibuni tuwatakie wale secret admirers wetu heri ya siku ya wanawake
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
111,677
2,000
I know this lady and yes she is a very special lady. So beautiful and down to earth ila simtaji ๐Ÿ˜‚

Hata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo
Hongera sana umeweza kumove on, nimeshindwa kabisa kumtoa huyu mwanamama akilini, sijui kama akiki zangu zipo sawa au nachanganyikiwa, mpaka naandika hivi ujue ni kama sijielewi kabisaaa
 
Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
11,075
2,000
Hongera sana umeweza kumove on, nimeshindwa kabisa kumtoa huyu mwanamama akilini, sijui kama akiki zangu zipo sawa au nachanganyikiwa, mpaka naandika hivi ujue ni kama sijielewi kabisaaa
Kama uko siriazi..mwamba unateseka kinouma..nilikuwa huko..mwamba alijua kuchukua time yangu moyoni... ni mateso
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom