Nilitamani kuuache ila wadau wengi wamekuja PM waneshauri niombe mods waufute ukizingatia kwamba muhusika mwenyewe hajatia timu hapa mpaka sasa na amenipiga block, inawezekana huu uzi ukazidi kumkwaza, na mimi naona ni vyema nikawaomba mods waufute ili kuepuka kumkwaza muhusika
We jamaa acha utoto na upumbavu, hivi una umri gani jombaa, unatafuta nini kama unampenda mtu si unamfungukia hiko PM, mambo ya kuedit na kuweka nyimbo zako mbona ni za kitoto sana, mimi niliona majuzi umeedit halafu nikajaribu kutrack nikashangaa original comment ni tofauti na ulichoandika wewe,na jana baada ya kuona huu uzi nimerudi kwenye uzi wako umefuta, kumbuka huyu dada ni moja kati ya member ninaowafatilia usiku na mchana, yani hata ukiniuliza leo amefanya nini JF naweza kukwambia maana naangalia amecomment kwa nani, amelike kwa nani, nani amemquote na nani amemention jina lake, pamoja na kwamba ameniblock lakini nina mfatilia kwa ID nyingine
Acha kuchagua watu kwa utoto wako wa kijinga, mi nataka upewe life ban tukusahau kabisa hapa
Kama unampenda mfuate pm usiedit quote zake, i can tell kwamba amekublock sasa unahamishia majeshi kwenye comment, na mpaka ameamua kulalamika hadharani basi jua tu umemkera na hana interest na wewe[emoji850]
Huko si salama kwa wababu utakata moto.tumalizane hapa hapa babu yake JHebu twenzetu kwanza PM tukaendeleze tulipoishia
#Ni wewe.Kwamba Mtumishi umegoma kuamini kwamba mlengwa si mimi au?
Pona kabisa mzee baba neno lajaMwenzenu roho yangu kwa jimama Evelyn Salt nimekwisha mie, Mamushka tia neno MOJA tu na ROHO yangu itapona.[emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili ni jibu la jamaa akimtetea crush
Thread: https://www.jamiiforums.com/threads...ngu-anaponiquote.1845059/page-8#post-38319869
Ah basi bana. Mtu mzima nshaelewa mie...Huko si salama kwa wababu utakata moto.tumalizane hapa hapa babu yake J
wewe subiri kidogo watakuanzishia uzi muda sio mrefu!..... inaonekana kwa sasa mtindo ni kuanzishiana nyuzi!Hizi mentions zimenitoa mbio huku, nikajua kuna mpendwa kani-crush mweeh[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sijui Hata umemficha wapi! Na ndiye huyo L niliyekuwa namaanisha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nammiss Lizarazu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishamjua! Anaanzia na M!..
Dah nilikaa nikafikiria weee
Leo sasa nimegundua kumbe ulikuwa unamaanisha Hawa watu.
Huyo wa mwanzo mweee hata kafeeling ka bahati mbaya hakajawahi kunijia..
Halafu mbona kiingereza anajua,japo English yake siikubaligi tu sijui kwanini.
Huyu wa pili,dada dada nimekuona una utani na maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kuna kijana anatema kingereza kilichoenda shule kama yeye?
Jamaa gazeti zima anamwaga ung'eng'e hadi natembea na dikshenari[emoji86]
...
Hao wote hawaendani na maelezo niliyotoa,
Maelezo yangu nilisema anapenda kuchanganya lugha.
Hata kasentensi kawe kafupi ila lazima achanganye na bado anatoa ka broken Safi
Kaka Nakusalimu [emoji870][emoji870] [emoji4][emoji4]Naona mzee baba umeshachomoa waya mmoja wa betri, umebaki mmoja tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mentions zimenitoa mbio huku, nikajua kuna mpendwa kani-crush mweeh[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Tobaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una mafuta ya upako leo tukuweke pamoja na mzee Buji
Paula Paul kuja kuna uzi wako hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my heart, sina uhakika kama unajua kwa sababu sijawahi kukutamkia, whenever i log in here, the first person to look for is you, huwa naangalia umecomment nini, umelike kwa nani, na nani amekumention, naweza kuingia JF mwezi mzima nisiseme chochote, nakuangalia tu wewe naona furaha
You are a beautful soul, a real woman, wife material, a mother, smart, and God fear.
Kuna wakati huwa natamani nikuibukie PM ila naogopa, najua umeolewa na una familia, huwa hujichanganyi sana hapa jukwaani na huwa huchangii kwenye nyuzi zenye matani mengi
Ni mshauri mzuri sana, you respect everyone na sio rahisi ukwaruzane na watu.kuna wakati huwa unapoa kabisa kama vile haupo, sijui nikuambiaje wewe mwanamama, nakupenda hadi nahisi kupoteza fahamu, kila nikijitahidi kukutoa akilini mwangu nafeli
Kuna wakati nilikutumia PM za salamu, hukuwahi kunijibu hata moja wala hukuonyesha kujali.niliumia sana, nilikata tamaa ya kuendelea kukutafuta PM na sikua hata na ujasiri wa kueleza hisia zangu juu yako, tatizo ni kwamba you are too perfect kila nikiangalia sioni dosari yako
Huwa nasikia wivu nikiona mtu amekusifia au amekumention kwa jambo lolote, tena nikiona kidume amekuwekea emoj za love basi hali ya hewa huwa inabadilika hata nyumbani huwa sitaki hata wife anisemeshe. natamani ningekua nakumiliki wewe, nikuchunge na kukuficha
Aaah siwezi kuendelea kusema ila leo nimeamua nitoe ya moyoni labda nitapata ahueni.I do admire you secretly mama.
Karibuni tuwatakie wale secret admirers wetu heri ya siku ya wanawake
wewe subiri kidogo watakuanzishia uzi muda sio mrefu!..... inaonekana kwa sasa mtindo ni kuanzishiana nyuzi!
Mapenzi yana nguvu sana mkuu. Mpaka namwonea huruma mke wa huyu baharia aisee [emoji16][emoji16][emoji16]