My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Hofu yangu ni kwamba huyu dada ni mke wa mtu na alishaweka wazi wapa jukwaani na anaonekana ni mtu ambae yupo commited kwenye ndoa yake,kitendo cha yeye kuupotezea tu huu uzi basi si sign tosha kwamba amepuuza na hana muda

Wachangiaji hapa kila mtu anaongea analojisikia pasipo kuconsider upande wa pili wa muhusika, wengine wanamvunjia heshima ilhali yeye amekaa kimya na wengine wanaongea mambo ambayo hayapo

Mimi binafsi sikuanzisha huu uzi kwa lengo hilo bali kwa lengo la kuwatakia wale tunaowacrush heri ya siku ya wanawake

Unadhani ni sahihi huu uzi kuendelea kuwepo?
mkuu wewe ndio huku-consider upande wa pili wakati unaanzisha huu uzi! kama hukutaka Mtende akwazike basi ungekaa na mafeeling yako huko na sio kuja kujimwaga hapa jf........
 
mkuu wewe ndio huku-consider upande wa pili wakati unaanzisha huu uzi! kama hukutaka Mtende akwazike basi ungekaa na mafeeling yako huko na sio kuja kujimwaga hapa jf........
Nakubali kubeba lawama zote mkuu, ili kuepuka mengi zaidi naomba tu Moderator wanisaidie kuufutilia mbali huu uzi
 
Maisha yafaa nini bila pombe?

Sasa we endelea kulialia, hadi akili zitapokurudi sawa... hata akikuelewa unafikiri utamfanya nini!

Come to your senses, man up BOY.
Pole sana mkuu
 
Hata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo😀😃😃🤔🤔🤔🤔
Jamaaaaaaniiii Chakorii tangia lini mimi nikawa mbabu? Sasa mbona haukuwahi kuniambia kama unani-feel namna hii?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom