My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Khaa wakati mwenzako najiona nina matani mengi! Nimegundua humu jf watu serious sana ndiyo wanaopendwa kama huyo crush wa mtoa mada umeshaambiwa ni mtu serious na hazoeleki kirahisi!

Binafsi hata mimi mtu ninayemcrush humu huwa yuko serious sana! Yaani hata akiniquote huwa najifikiria mara mbili mbili niandike nini kabla sijamjibu maana naogopa naweza nikaandika pumba nikamkwaza!
Nilihisi huna hisia na wanaume
 
Nimeshamjua na nimeshafungua code kwa watakaoelewa wataelewa! Kama ni huyo hata hauwezi amini the moment namaliza kusoma uzi wako id iliyonijia kichwani ya kwanza ni yake maana binafsi hata mimi namkubali sana ila ndiyo kama ulivyosema hazoeleki kirahisi!
Thats the probelem brother
 
Dah jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mimi najijua shida yangu inayonikosesha picha ni maneno mengi hapa jukwaani.

Ila ungeniona nilivyo yaani ungenitumia tena zoote na za watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona eenh! Hata mimi kuna wakati huwa nahisi haya makelele yangu mengi ndiyo yananiponza yanafanya watu wananionaje sijui kumbe masikini wangejua hizi ni confidence za nyuma ya keyboard tu!
 
Umeona eenh! Hata mimi kuna wakati huwa nahisi haya makelele yangu mengi ndiyo yananiponza yanafanya watu wananionaje sijui kumbe masikini wangejua hizi ni confidence za nyuma ya keyboard tu!
Mimi mtu akiniona live anaweza abishe kabisa kama mimi ndiye
 
Mtende
Nishajiropokea mweee [emoji134][emoji134][emoji2098]
Asante kwa kumtaja, ni Mtende sijui what is happening to me ila nampenda sana huyu dada, mbinu zangu zote zimegoma

Please say a word Mtende, sma tu malume asante kwa kunipenda nitaridhika ndani ya nafsi yangu, najua siwezi kukupata ila siwezi kuficha hisia zangu juu yako

Sasa ameniblock sijui hata kama ataona huu ujumbe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom