My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo akasema anapenda wembamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi nimeshindwa kubet
Utanitajia tu mwenyewe [emoji1787]
Yes na yeye anaonekana ni mwembamba halafu mrefu! Kwa mbali ana katabia fulani hivi ka kujisikia yaani huwa hachangamani na watu hovyo na wala sijawahi ona anatukanana na mtu yeyote humu!
 
Yes na yeye anaonekana ni mwembamba halafu mrefu! Kwa mbali ana katabia fulani hivi ka kujisikia yaani huwa hachangamani na watu hovyo na wala sijawahi ona anatukanana na mtu yeyote humu!
Duh aiseee
Nitachosha ubongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule wangu yeye anabishanaga na watu,
Majukwaa yote yupo ila si sana..
Huwa hatabiriki,kuna muda anakuwa upande wa serikali,kuna muda anaiponda.

Anapendaga kuchanganya kiingereza na kiswahili japo hata akichanganya bado anatoa broken English.
 
Yes na yeye anaonekana ni mwembamba halafu mrefu! Kwa mbali ana katabia fulani hivi ka kujisikia yaani huwa hachangamani na watu hovyo na wala sijawahi ona anatukanana na mtu yeyote humu!
huyu chalii anaitwa chaliifrance
 
Mkuu mapenzi ndio yalivyo,, Ona sasa wewe umependa mwandiko wa mtu..

But mwambie ukweli tu, Mwanaume kuumia hvo haipendezi kabisa...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom