Malume
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,014
- 1,886
- Thread starter
- #441
Ndugu, sikuwahi kujua kama unaweza kumpenda myu ambae hujawahi kumwona, zamani nilikua nashangaa watu wanakutana kwenye social media wanapendana ila sasa yamenikuta, ninampenda and i can say this over and over againMsaidie huyu kwa kumshauri ampende zaidi mkewe, you can imagine hali ya ndoa yake ikiwa hisia zake zipo JF kwa asiyejulikana.!