kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 562
- 1,421
huyu ni special kweli hata guessing imekuwa kibarua cha zegeHuyo anatumia ID hiyohiyo since 2010
huyu ni special kweli hata guessing imekuwa kibarua cha zegeHuyo anatumia ID hiyohiyo since 2010
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui huwa anawazaga nini yaani.
Huwa nafikiria sipati majibu.
Kuna uzi alifunguliwa,Title ilikuwa"neno moja kwake..."
Nilicheka almanusura nizimie[emoji1787][emoji119]
Hebu huko na wewe umetokea wapi sijui😁😁Chako kama chake😂
Yote Tisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama naona walivyomponda
Acha wivu, sio mtu mzima, i can gues labda she in around 32 au 33, kuna mahaki niliona ameandika alimaliza chuo 2011 kwa hiyo nahisi sio mtu mzima sema tu bahati ilimfondokea akaolewa mapema na kuoata watoti mapema, natamani hata ningemuoa mimi na kumzalishaAngalizo:
Kwa vile umependa mwandiko wake inabidi uendelee hivyo hivyo tu na hisia za kufikirika, raha unayopata inakutosha sana.
Usiombe siku umuone, huenda utakuwa disappointed sana... watu wazima na smart kama hao wengi wao thamani yao ipo kichwani na si mwonekano na matamanio.
Thank me later.
Nimekuruhusu mtakatifu umtaje..hapo nitagundua kuwa kweli wewe ni mtakatifu.Wa kwako
Khaa wakati mwenzako najiona nina matani mengi! Nimegundua humu jf watu serious sana ndiyo wanaopendwa kama huyo crush wa mtoa mada umeshaambiwa ni mtu serious na hazoeleki kirahisi!Mmmh ww unatisha bana. Uko serious sana.[emoji1787][emoji1787]
Mwalimu wetu wa kiswahili mbona unatuangusha?Hivi "Crush" kwa Kiswahili maana yake nini ? Kabla sijachangia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na wewe hadi dakika hii bila bila
Hatuna anayetucrush
Dunia hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kwa hiyo Mzee wa chura pale kafa kaozaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini mbona ana crush wake yule
Humjui nikutajie??
Ni Behaviourist
Alifunguliwaga hadi uzi,sema mods walipita nao dk chache tu baadaye [emoji23][emoji23]
Hapa ndipo najua uhalisia wa dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia haina huruma
Watani wa jadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Mzee wa chura pale kafa kaozaa
Mimi ananishangaza anajua hadi ligi za mchangani duniani kotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo dada daah
Hamna
Ww kuwa tu kawaida...mbona kuna watu wanawacrush watu ambao michango yao humu ni ya ajabu ajabu tu!
Inamaana hujui au Espy hakufikisha salamu zangu?Hivi mimi ndiyo sina kabisa crush humu jamani? Si mtoto wa mtu anikufie na mimi anianzishie na kauzi?
Simtaji ila nina uhakika ni yeye..Nimekuruhusu mtakatifu umtaje..hapo nitagundua kuwa kweli wewe ni mtakatifu.
Hiyo siri ni mimi na baba wa mbinguni tuijuaye