Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Heri ya mwaka mpya babu.Heri ya mwaka mpya. ..
Kwa taarifa tu... hapa wajawazito hawatajwi...
Kwani nani tena mjamzito?
Heri ya mwaka mpya babu.Heri ya mwaka mpya. ..
Kwa taarifa tu... hapa wajawazito hawatajwi...
Eeeeh....Shunie kwani atajwa?
Alitajwa huyo crush?Eeeeh....
Mamushka?? 😁Heri ya mwaka mpya. ..
Kwa taarifa tu... hapa wajawazito hawatajwi...
Ohooo... kitumbua kitaingia mchanga muda si mrefu....Mamushka?? 😁
🏃♂️ 🏃Ohooo... kitumbua kitaingia mchanga muda si mrefu....
Katajwa..Alitajwa huyo crush?
Nimekumiss
Unesema kipindi cha nyuma?Katajwa..
Nimekumis pia mamiii, niliona huu uzi nikakumbuka kipindi cha nyuma kile nikiona comment yako basi hata maji hayapiti
Kwahiyo siku hizi sikushtui tena eeh?Katajwa..
Nimekumis pia mamiii, niliona huu uzi nikakumbuka kipindi cha nyuma kile nikiona comment yako basi hata maji hayapiti
Hahahaha sijamaanisha hvyo..Kwahiyo siku hizi sikushtui tena eeh?
unataka kusema nimemaanisha siku hizi hana juraa maana lile sio churaUnesema kipindi cha nyuma?
Nyuma? Unamaanisha chura?
Weeeeeunataka kusema nimemaanisha siku hizi hana juraa maana lile sio chura
Hapigwi chini mtu hapa, mpaka kifo kitakapo tutenganisha.
Hulaliii?Weeeee
hahahah ana shari huyo sista muda wowote vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo dada daah