Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Oohh sawa! Nami nilimaanisha huyo mtu wa jf namkubali kama rafiki tu na kaka na siyo kuwa nina hisia naye!Kama sijakuchanganya na mwingine uliwahi sema huoni umuhimu wa kua na mwenza na unaweza kuishi hivyo bila shida