Malume
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,014
- 1,886
- Thread starter
- #881
Nilitamani kuuache ila wadau wengi wamekuja PM waneshauri niombe mods waufute ukizingatia kwamba muhusika mwenyewe hajatia timu hapa mpaka sasa na amenipiga block, inawezekana huu uzi ukazidi kumkwaza, na mimi naona ni vyema nikawaomba mods waufute ili kuepuka kumkwaza muhusikaMkuu uache tu uzi waaiufunge
Watu tunaendelea kutaja akina crush wetu.