Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Uwiii huyo kaka chura? Huyo hapana!
Uwiii huyo kaka chura? Huyo hapana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]La Marianah lilikuwa powa
Atakuwa huyu FaizaFoxySijawahi mtamani huyo bibi yangu kasie, usinigombanishe tafadhali
Nkajua amekuelewa huyu dogo[emoji56][emoji56]Aahahahahhaa Hapana aiseeeh, am not the one.
Mie sijaacha kujibu PM hata moja.
Waulize wenyewe watakwambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo nilikuwaga nachamba sana jamani
R...[emoji16]
..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Tufanye L
😂😂😂una mafuta ya upako leo tukuweke pamoja na mzee BujiNipo huku tangu uzi unaanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo nazunguka majukwaa yote
Akituma utanitag mkuu😂😂Karma nitumie pm nimekuruhusu
😁😁😁kwan uongo mkuuHahahahahahahahahahaha
Umetisha sanaaa
Hebu niwache hukoooAkituma utanitag mkuu😂😂
Baada ya hayo akamwacha kwa muda..Hebu niwache hukooo
HebuuuBaada ya hayo akamwacha kwa muda..
Hebu twenzetu kwanza PM tukaendeleze tulipoishiaBabu Joanah unantafutie kesi ujue 😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ID gani boss?
Mimi kilichofanya nisimfikirie Heaven Sent ni pale aliposema kwamba the woman yuko serious. Hainteract sana na watu na hauwezi kumkuta kwenye nyuzi zenye matani mengi.
Nimeshazoea HS wangu kwenye baadhi ya nyuzi za matani yupo sana tu anachangiaga na huwa anainteract sana na watu. Lakini zile sifa nyingine zote sasa ndiyo zinaendana na za HS.
kumbe JF ina mambo makubwa namna hii aiseee? unampenda vipi mtu kupitia maandishi yake? interesting.....
wakati namalizia kusoma uzi basi nikajua mhusika ni Heaven Sent ,japo sasa yeye hajawahi kuongelea mambo ya ndoa na familia humu ndani....
Kumbe tulikuwa wengi tuliofikiri Heaven Sent ndiye mhusika. Ungekuwa mkeka tungepigwa balaa !!!
Hata sasa bado naamini mlengwa ni wewe. Wengine wanazingua tu [emoji51][emoji51][emoji51]