Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,961
Roho yangu inamdondokea sana jimama Quetzal, navutiwa na 'ujuaji' yake japo bado kuna mizani hajaenea sababu nahisi malezi.
Ngoja kwanza asijue kupita hapa akaanza kuvimba.
Saint Anne kaa kaa kwa kutulia ulinikataa kwa ile ID nyingine, kaa mguu sawa soon nitaleta uzi hapa.