AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Hi to all The Women out there!!!:A S-heart-2:
Natumia sikua ya leo spesheli kabisa kwa kuwatakia Kheri wanawake Wenzangu, na kuitumia nafasi hii kutafakari na kueleza why I Love being a WOMAN....
Napenda kua a woman for I can be anything . I can be feminine or Masculine kutegemea na mazingira na the reliant issue at hand Naweza vaa nafasi ambayo imekua labled ya wanaume na kuvaa Ujasiri katika jamii yetu hii ya Mfumo dume huu, Ama naweza nikawa Mwanamke katika nafasi ya Uanamke ipasavo na nikadhibiti majukumu yangu kama Mwanamke, acha ile kama Mwanadamu wa kawaida . Na jamii itanielewa...
Napenda the Fact kua once in a while I can sorely be dependent on a Strong reliable Man na kumuegemea kwa kiasi kikubwa kama his baby and feel more of a Woman . Napenda pia Upande wa pili wa shilingi kua naweza pia kua Independent na nikasimama kama Mwanamke na kujitegemea kwa lolote with all energy and power vested in me by God na nikafanikiwa na kusonga mbele....
Napenda the Fact kua nimepewa bahat ya ku experience Motherhood through two beautiful and Wonderful Kids.. Napenda the Fact nimejaliwa a natural birth of my babies . Creating a special and Unique bond between I and my kids . Ni mwanamke pekee ambae aweza elewa na I feel hio bond Uzazi unakubadilisha at par kwa Mwanamke . Mother hood is phenomenon and my heart goes out to all those who wish to be so but from one reason or another they can not . Motherhood inakuapa hisia na nguvu kua hakuna kitu chaweza kushinda, kwamba waweza fanya lolote juu ya m/watoto wako . No matter what hakuna wakuja kati yenu.
Napena the Fact kua as a Woman nina profession nyiingi mno na nazicheza kwa pamoja na Ufasaha. For nina cheo cha Mama, Mke, (acha dada, mkamwana, mto to, n.k), Muuguzi, Mpishi, House keeper, counselor, tokana na mazingira na nafasi. Napenda kua as a wife nina nafasi kubwa kuliko mwanaume kufanya ndoa yangu iwe ya Amani na Utulivu for I have been vested that power in me .. Napena the Fact nina nafasi kubwa ndoa yangu kudumu na Kuimarika kuliko aliyonayo Mwanaume
Being a WOMAN I can be anything, become anybody and achieve almost all that which is in my Power. I can be strong and resliable, I can be Weak and Unreliable, I can be dumb and blond, I can be Intelligent and Wise, I could be Lazy and dependent and I could be a hard worker and Independent, I can be a lot of things as a Woman that Men can Not .. And yet Society will accept and Understand me .. The beauty of being a Woman.
And that is only possible If as a Woman you are Proud to be a Woman You thrive on being a Woman and Believe in yourself in what ever you do
Happy Womans Day to all My Fellow Wonderful JF Women and all the Wonderful Women out THERE!!! Karibuni .. Please share of why you LOVE Being a WOMAN .. AND keep this boat Rocking .
Pamoja Saana With Love....:grouphug:
AshaDii.