My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo baada ya kumjua, nini kinafuata...tumuombee Malume apate kibali kwa sista au tumuachie apambane kivyake?
Mzee baba kama tu PM umekosa kibali, achana na hizo mambo...pigania mengine, maisha yana mambo mengi huwezi kulalia kitu kimoja miaka yote hiyo.

Wanasema sio fungu lako.
Nimekuelewa kamanda wangu
 
Uwii initial ya jina lako halisi? Mbona sina mwanaume ninayemkubali humu anayeanzia na hiyo initial?

Mimi ni initial nyingine tu! Yaani nakuambia hakuna atakayeweza kuotea hata initial na hata mkimjua wote mtabaki midomo wazi!

Mimi kwa kweli sina makaka! Hivyo mwanaume yeyote nitakayemuambia namkubali humu ajue tu kuwa namkubali kama kaka!

Hebu kwanza na Wewe niambie huyo wako anaanzia na initial gani
Mweee
Hebu nitajie kwanza tuone

Mimi nina hakika humjui kabisa,yaani kama kuna mtu nilishawahi gusia gusia kwenye stori basi ujue siyo kabisa..yeye hakuna anayemjua.
 
Aiseee mimi nikimtaja hapa nahisi hali ya hewa itachafuka! Maana kwanza hata yeye mwenyewe hanikubali wala nini ananionaga mizinguo tu!

Huwa tunaquotiana mara moja moja kwenye uzi wake fulani hivi! Ila kwenye mada kama hizi za haki sawa huwa hanikubali na alishaniponda mara kadhaa!

Hii code kwa atakayeweza kuicrack wallahi nampa hela maana sijawahi kuonesha kama namkubali! Lakini mind you nimesema siyo kimapenzi namkubali tu kama rafiki na kaka!

Tofauti kati ya mimi na wengi ni kwamba wengi wanaanza kuwacrush watu then as time goes wanaanza kuwaona wa kawaida! Ila mimi huyu nilianza kumuona wa kawaida ila as time goes ndiyo nikaanzaga kumcrush!
Asiwe huyu naemfikiria maana huwaga mnablastiana kwenye mada za usawa wa kijinsia😂😂
 
Mweee
Hebu nitajie kwanza tuone

Mimi nina hakika humjui kabisa,yaani kama kuna mtu nilishawahi gusia gusia kwenye stori basi ujue siyo kabisa..yeye hakuna anayemjua.
Itabidi tufanye tu kutajiana kwa kweli! Ila kumbuka mimi ndiyo nilikuwa wa kwanza kukuuliza tangu ile asubuhi niliomba unitajie!
 
Itabidi tufanye tu kutajiana kwa kweli! Ila kumbuka mimi ndiyo nilikuwa wa kwanza kukuuliza tangu ile asubuhi niliomba unitajie!
Ila nilianza mimi kukuomba jana [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora tu unitajie au tupeane kazi ya kubashiri japo tukifanya hivyo uwezekano wa wewe kubashiri crush wangu haupo kabisa
 
Ila nilianza mimi kukuomba jana [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora tu unitajie au tupeane kazi ya kubashiri japo tukifanya hivyo uwezekano wa wewe kubashiri crush wangu haupo kabisa
Nami nimeligundua hilo kuwa tukiendelea kupeana kazi ya kubashiri najua hakuna atayempatia wa mwenzie hivyo bora tutajiane tu

Wewe unasema ile ya jana mi ile ya jana nilikuwa nachangamsha genge tu ila hii niliyosema leo ndiyo ukweli kwahiyo mimi nilikuomba kwanza
 
Mweee ila mimi nilishaanza nadhani
Anaanzia na dabiliu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwee hebu na wewe otea labda,maana uko vizuri sana..tunaweza jikuta wote tumepatia kama kinsi tulivyyootea kwa mtoa mada.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom