Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,609
- 235,500
Maana tangu jana tunatupiana kijiti tu hatutaki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]Bora aisee
Leo tukajitosa [emoji1787]
Sijui kama hajatulima na sisi ban
Maana tangu jana tunatupiana kijiti tu hatutaki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]Bora aisee
Wamemtaja hapo juu. Na mimi nimefuata mkumbo tu. Ila mleta uzi alikiri na kuondoka zake. Wamebakia wapiga porojo tu [emoji16][emoji16]Kumbe ni mtende?
Traaaaaaaaajaaaaaaa mtakatifu 🤪🤪Ngoja niset mitambo yangu ya sauti vizuri...namtaja,yaani kazi iliyopo ni kumtaja tu[emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa out kabisa. Nilikuwa nafikiri ni Mnyaki mwenzio mama mchungaji Heaven Sent. Ingekuwa ni mkeka ningepigwa [emoji16][emoji16][emoji16]Yeah mimi the moment nimemaliza tu kusoma uzi id ya kwanza iliyonijia kichwani ni ya Mtende
Mmefanya vizuriiWamemtaja hapo juu. Na mimi nimefuata mkumbo tu. Ila mleta uzi alikiri na kuondoka zake. Wamebakia wapiga porojo tu [emoji16][emoji16]
Na wa karma mtajeMaana tangu jana tunatupiana kijiti tu hatutaki kusema[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo tukajitosa [emoji1787]
Sijui kama hajatulima na sisi ban
Mimi nilikuwa out kabisa. Nilikuwa nafikiri ni Mnyaki mwenzio mama mchungaji Heaven Sent. Ingekuwa ni mkeka ningepigwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja niset mitambo yangu ya sauti vizuri...namtaja,yaani kazi iliyopo ni kumtaja tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Silali leo
Asubutuuuu!Hizi code huziwezi...
Huyo atakuwa Nyani Ngabu [emoji38][emoji38]Yesu wangu!
Asiwe tu ninayemfikiria[emoji40]
Simkubali[emoji19]
Jina lake hapa lina initial sawa na lile jina langu halisi???
Mimi wangu sijui ni jini yule [emoji848] ,hata mimi sielewi yaani[emoji86] matendo yake ya kijeshi sio jeshi,jini siyo jini hadi nikaogopa
Hayo ni matendo ya id tu
Nilitokea kumkubali sana aiseee..sijui hata kwa nini.
Nitaendelea..ngoja nile ugali nipate nguvu.
Mimi tofauti na wewe,nilimkubali ile siyo ya kaka..kaka wananitosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ndo wanazibia wengine chance ya kuolewa wakati wao walishaoa.Hahahahahahaha unataka mume wa mtu asimsifie mke wa mtu na vice versa Best? Wengine wanashindwa kufa na tai shingoni. 😂😂
Hawa ndo wanazibia wengine chance ya kuolewa wakati wao walishaoa.
Kubashiri huwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo atakuwa Nyani Ngabu [emoji38][emoji38]
Sijakimbia mkuu, nipo hapa, nitaondoka JF ila mpaka nihakikishe huu uzi mods wameufutaSasa unakimbia nini kamanda? Si umsubiri kipenzi cha moyo wako amuage mumewe na amalize kuwalisha watoto aje akusemeshe? Umekula ng'ombe mzima ushindwe mkia? Au na wewe unawahi kwa mkeo na wanao? I love JF [emoji16][emoji16][emoji16]