My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Aiseee mimi nikimtaja hapa nahisi hali ya hewa itachafuka! Maana kwanza hata yeye mwenyewe hanikubali wala nini ananionaga mizinguo tu!

Huwa tunaquotiana mara moja moja kwenye uzi wake fulani hivi! Ila kwenye mada kama hizi za haki sawa huwa hanikubali na alishaniponda mara kadhaa!

Hii code kwa atakayeweza kuicrack wallahi nampa hela maana sijawahi kuonesha kama namkubali! Lakini mind you nimesema siyo kimapenzi namkubali tu kama rafiki na kaka!

Tofauti kati ya mimi na wengi ni kwamba wengi wanaanza kuwacrush watu then as time goes wanaanza kuwaona wa kawaida! Ila mimi huyu nilianza kumuona wa kawaida ila as time goes ndiyo nikaanzaga kumcrush!
Hiyo code mbona rahisi tu kuifungua[emoji4]

Ni vile sitaki tu kuifungua faster
 
Hahahaha huyo ni kaka yangu kipenzi kabisa jamani naye namkubali sana! Ila huyo tunafahamiana sasa huyu crush wangu hatufahamiani hata pm hatujawahi enda!

Halafu kuna uzi aliwahi kusema yeye anapenda date wadada wembamba ndiyo type zake! Nikajisemea mwee mimi na ukibonge huu atataka hata urafiki na mimi kweli!
Ni mwendo wa kukaa na njaa na mazoezi tu hamna namna🤣🤣🤣
 
My dia mjukuu mpenzi Joanah

Ahsante kwa kufumbua hili fumbo...

Kuna sehemu yoyote huyu Chakorii amepinga au kuunga mkono hoja yako?

Na kama kakugongea like afu akakaa kimya, wewe kama wewe mjukuu mtiifu, umetafsiri nini kimya chake...

Nje ya mada: Ungependa Chakorii awe sehemu ya familia yetu kupitia kwangu.?..

Niko mlimani huku nasubiria majibu. Ukija usisahau kuniletea mkongojo wangu
Babu Joanah usimsikilize mjukuu wako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom