Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Hahahaha huyo ni kaka yangu kipenzi kabisa jamani naye namkubali sana! Ila huyo tunafahamiana sasa huyu crush wangu hatufahamiani hata pm hatujawahi enda!Mweee ila mimi nilishaanza nadhani
Anaanzia na dabiliu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwee hebu na wewe otea labda,maana uko vizuri sana..tunaweza jikuta wote tumepatia kama kinsi tulivyyootea kwa mtoa mada.
Halafu kuna uzi aliwahi kusema yeye anapenda date wadada wembamba ndiyo type zake! Nikajisemea mwee mimi na ukibonge huu atataka hata urafiki na mimi kweli!