My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Asante kwa kumtaja, ni Mtende sijui what is happening to me ila nampenda sana huyu dada, mbinu zangu zote zimegoma

Please say a word Mtende, sma tu malume asante kwa kunipenda nitaridhika ndani ya nafsi yangu, najua siwezi kukupata ila siwezi kuficha hisia zangu juu yako

Sasa ameniblock sijui hata kama ataona huu ujumbe

Mtende dada tumejikanyaga weee hadi tumeona tuseme tu.

Toa neno moja kwa kwamba nafsi yake ipone.
Salamu tu inatosha,usiendelee zaidi.

Kwa heshima na ukarimu wako hapa naamini utafanya,si kwa nia mbaya
 
Kwahiyo ina maana mimi nilivyotoa hint Nimeshaharibu siyo
Mimi tangu uzi unaanza nilikuwa nimeshamjua...
Walivyoongezea akina BAK nikaconfirm asilimia 90
Alivyokuja kumalizia mwenyewe mtoa mada alivyosema blabla za 2011 nikaconfirm kabisa...maana huwa namsoma sana huyu dada,moja kwa moja nikakumbuka ashawahi kuandika.
 
Yeah mimi the moment nimemaliza tu kusoma uzi id ya kwanza iliyonijia kichwani ni ya Mtende
 
Yeah mimi the moment nimemaliza tu kusoma uzi id ya kwanza iliyonijia kichwani ni ya Mtende
Mimi ningekuwa mzee wa kubet nadhani ningekuwa nakula hela kila siku[emoji1787]

Kuna moja ngoja niimalizie hii wiki halafu nitakuletea ujue kwanini yule alikwambia fulani ni mtu wa maji.[emoji40][emoji40][emoji40]
Nilitaka niropoke siku ileile sema nikajipa muda.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom