Sawa nimekuelewaNIlikuwa najaribu kukuvuta karibu nijue ni % ngapi za matamanio kwa super woman wetu halafu nijikatae[emoji1787][emoji1787]
Ndoa iheshimiwe na watu wote aise.wewe una ndoa,Na yeye ana ndoa..acha ndoa kwa ndoa ziheshimiane[emoji1635][emoji1635]
Yaan hiz isifa zote ulizompa kumbe wewe mme wa mtu? Aiseee jf ina mengi.
Dota hebu funguka[emoji848]Kumbe tupo wengi! Amen!
Khaaah!! Binti yangu atakuwa kamkosea nini Mungu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Pumzika mama mkwee
woow Mzidi kupendana mkuuKapole fulani hivi ila kamechangamka! Ilianza Kama masihara mara mambo mrembo! Mara we ndo komamanga wangu! Mwisho wa siku pauka pakawa! Uzuri anajijua na anaijua hadi Kona ya mahaba niliyomkaba. 🤣
Ni wewe tu mrembo nakupenda chana .
Mkuu uza tu hiyo formula ya kutengeneza coke hapa jukwaani ...Aiseh pole sana.natamani nikupe mbinu za kimkakati 😁😁😁
Dota hebu funguka[emoji848]
We jamaa mpaka nimekuonea huruma kwa jinsi unavyoumia, angekua hajaolewa ningekushauri upambane umpate ila mke wa mtu jitahid umuone kawaida usitafute matatizo
WachaaaMkuu uza tu hiyo formula ya kutengeneza coke hapa jukwaani ...
Wajuba wanaisubiri kwa hamu wakaijaribu kujitengezea kinywaji wenyewe kwenye maabara ya nyumbani.
Na ndio maana naipenda hii id, juzi niliambiwa nimekalisha mapu....u haki nilicheka[emoji1787][emoji1787]Shukrani kwa msaada maana ID nyingine ni ngumu kujua kama ni ME au KE.