Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Ngoja watu wamalizemalize kufunguka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nitamalizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja watu wamalizemalize kufunguka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamini hii hali inawakyta wengi sema wanaogopa kufunguka, cha ajabu kuna watu wananicheka hapa, i am madly in love with the woman mpaka sijielewiNgoja watu wamalizemalize kufunguka.
Mimi nitamalizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣KumbeMaskini....😌😌
Nilijua hii hali ilinipataga mimi tu😌😌pole
Babe ni wewe tu[emoji7]Hahaha, acha mambo yako babe! Wewe mseme tu wala sitalia...
Mkuu mtaje tuNimeamini hii hali inawakyta wengi sema wanaogopa kufunguka, cha ajabu kuna watu wananicheka hapa, i am madly in love with the woman mpaka sijielewi
Msalimie aliyekupoteza 😆Dada nilikumiss [emoji23][emoji23][emoji23]
Cc. Maprosoo maprosoo 😆🏃🏃Hii kitu hutokea sana...
I used to admire someone, had a crush on her... fortunately nimefanikiwa kumuelewesha na kanielewa...
Anajijua mwenyewe...
😊😊
Sanaa.tukaze mwendoTumechelewa Sana Ndugu Zangu
..ya kwako si ipo wazi mkuu, au unataka tuanze kutafuta tena[emoji39]Hii kitu hutokea sana...
I used to admire someone, had a crush on her... fortunately nimefanikiwa kumuelewesha na kanielewa...
Anajijua mwenyewe...
[emoji4][emoji4]
Sitaki kuwa mshika mapembe babe!Babe ni wewe tu[emoji7]
Wanapenda comment 😂😂😂😂😂Yani mtu kutupia comment tayari mshapenda!!??
nyie vichaa kuliko Deo Kisandu
Huwezi kuwa mshika mapembe babe, ni wewe tu.Sitaki kuwa mshika mapembe babe!
Hizi code huziwezi...Cc. Maprosoo maprosoo 😆🏃🏃
Nilikua nimelewa hahahaJuzi nilimkuta mahali anajisifia kutongoza mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Nikasema huyu mbona dhambi zote anataka azifanye hataki kukwepa hata moja!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzalendo unakushinda mdogo angu?