E bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisa! Yaani bora hata ulivyoleta ugumu maana ungenibembeleza ningejikuta nakutajia bure!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata uelekeo huna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeenda chaka vibaya mno
Kwanza huyo R sijui hata ni nani[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Karma nitumie pm nimekuruhusu
Ebwanaaaa eeeehhh yann kujitesa[emoji23][emoji23].kama mtoa madaE bwana
Tena namchana tu hata kwenye uzi ...
Kumkubali mtu siyo dhambi ati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unakimbia nini kamanda? Si umsubiri Mtende kipenzi cha moyo wako amuage mumewe na amalize kuwalisha watoto aje akusemeshe? Umekula ng'ombe mzima ushindwe mkia? Au na wewe unawahi kwa mkeo na wanao? I love JF [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata umejiengua maana ungemtaja halafu ukamkosea mbata za kumwaga ungekula [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hata ni nani mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Tufanye L
Tulishamtaja mkuu.Ebwanaaaa eeeehhh yann kujitesa[emoji23][emoji23].kama mtoa mada
Eniweyi, Demu katajwa au bado anajikosha?
Mimi nahisi siyo huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha niotee siyo m kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuhh kumbe ni MtendeTulishamtaja mkuu.
Rudi comments za katikati mchana utaona.
Tulimsaidia jamaa kutaja
Ni mtende [emoji23]
M gani tena jaman karma sitaki initialz tafwazali.@saint Anne kakuambukiza kubet eee🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha niotee siyo m kweli
Huyu haweziM gani tena jaman karma sitaki initialz tafwazali.@saint Anne kakuambukiza kubet eee[emoji1787][emoji1787]
Tulishamtaja mkuu.
Rudi comments za katikati mchana utaona.
Tulimsaidia jamaa kutaja
Ni mtende [emoji23]
Mtakatifu kesho kabla hapajachangamka uwe umeshamtaja 😁Mimi nahisi siyo huyo
Ila ni yule nanii[emoji40]
Nimesema nitataja wiki ijayo.
Nitawataja wote na wa kwako.
Sasa ole wako usimtaje..🤣🤣🤣Huyu hawezi
Nitaleta majibu kesho
Ngoja niset mitambo yangu ya sauti vizuri...namtaja,yaani kazi iliyopo ni kumtaja tu[emoji23][emoji23]Sasa ole wako usimtaje..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijali kabisa[emoji1787][emoji1787]Mtakatifu kesho kabla hapajachangamka uwe umeshamtaja [emoji16]