Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
I miss you[emoji7][emoji7][emoji7]Ni mwendo wa kukaa na njaa na mazoezi tu hamna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I miss you[emoji7][emoji7][emoji7]Ni mwendo wa kukaa na njaa na mazoezi tu hamna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya twende kaziKarma atamtaja wangu.
Mimi nitamtaja wako..wewe inabidi umtaje wa Karma
I told ya..humjui🤣🤣Ngoja nishushe pumzi kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wiki ijayo namtaja
Namjua ila sitaki kumtajaI told ya..humjui[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya twende kazi
Mtakatifu wangu huyu master huwezi kumjua nakwambia ukweli kabisaNamjua ila sitaki kumtaja
Namjua kabisa ni huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nimalizie confirmation zangu kichwani [emoji23]
Akuuuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anzieni,mimi nitamalizia
Missed you too Dia.. upo jamani??I miss you[emoji7][emoji7][emoji7]
UmepoteaMissed you too Dia.. upo jamani??
Nawaomba mods wafunge huu uzi, na mimi naondoka jf kwa sasa mpaka panapo majaliwa
Nipo nachungulia chungulia nikipata muda...Mambo mengi muda mchacheUmepotea
Niko poa
Ni Jana tu nimekuwaza,nikasema huyu mwanadada sijui ameenda wapi simuoni.
Hadi muda huu bila bila,hakuna aliyenitajaNipo nachungulia chungulia nikipata muda...Mambo mengi muda mchache
Kaka yangu hajakutaja crush wake humu?
Umezingua Chak, hivi kumbe wanawake hamuwezi kujiachia!!!Haiji kutokea.
Sijazingua..ni mda sasa umepotea na nilisema sitomtaja kamweUmezingua Chak, hivi kumbe wanawake hamuwezi kujiachia!!!
Itakuwa haifagilii siku yenyewe ya wanawake si unajua vile amelelewa mfumo dume.Hadi muda huu bila bila,hakuna aliyenitaja
Mwambie aje aokoe jahazi jamani[emoji26]
MweeeItakuwa haifagilii siku yenyewe ya wanawake si unajua vile amelelewa mfumo dume.
Hata mimi dada yake hakuniwish
Mvumilie tu [emoji3]
Ntamwambia usijali..Mweee
Basi awe anapita ananijulia hali nafsi yangu ipone.
Kazi ganii, ukute unamaanisha ile uliyoniambia juzi.Mtaalam wa hizi kazi![emoji119][emoji119][emoji119]