My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Hata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo[emoji3][emoji2][emoji2][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787]
 
Ukimpenda mtu, ukimkubali mtu...wewe mwambie tu. Siku ukisikia alipata ajali ya bodaboda akafa utajuta hukumwambia jinsi ulivyojisikia juu yake.
Mimi nikimkubali mtu namwambia tu kama nakukubali hapa
Siwezagi kukaa kimya
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom