Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu nchii lipo Mtwara,mazao yanaongoza kuleta pesa nyingi nchi hii(Korosho, ufuta na mbaazi) yapo Mtwara utaniambia nini?

Ubaya Rais wa Kwanza wa nchi hii akaamua kuondoa reli na sababu ya kutoa reli hii ya Mtwara haijulikani sababu na reli hii imejengwa na wakoloni na wakoloni walikuwa na maana yao lakini Ndugu Nyerere akaamua kuindoa hii haijulikani

Walimpiga zengwe Dangote for any reason ili tu kuacha kuzalisha Cement au kuwepo kiwanda ila tu kwa wivu wao ili tu kuipiga chini na kuingusha Mtwara tu ili isipige mbele kimaendeleo ni wivu tu Mtwara ni strategic zone ya kibiashara ila ni ubinafsi tu hawa viongozi.
 
Umaskini na uduni uliopo mtwara ndio upo mikoa mingine kama kagera, rukwa, kigoma, Tanga, pwani n.k

Hauna hoja
 
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu nchii lipo Mtwara,mazao yanaongoza kuleta pesa nyingi nchi hii(Korosho, ufuta na mbaazi) yapo Mtwara utaniambia nini?

Ubaya Rais wa Kwanza wa nchi hii akaamua kuondoa reli na sababu ya kutoa reli hii ya Mtwara haijulikani sababu na reli hii imejengwa na wakoloni na wakoloni walikuwa na maana yao lakini Ndugu Nyerere akaamua kuindoa hii haijulikani

Walimpiga zengwe Dangote for any reason ili tu kuacha kuzalisha Cement au kuwepo kiwanda ila tu kwa wivu wao ili tu kuipiga chini na kuingusha Mtwara tu ili isipige mbele kimaendeleo ni wivu tu Mtwara ni strategic zone ya kibiashara ila ni ubinafsi tu hawa viongozi.
Nyie wenyewe watu wa Mtwara / Lindi mabwege. Maana msimu mkipata hela nzuri ya korosho mnachezea hela. Hata mbuzi mnamnunulia bia

Screenshot_20250919_170108_Facebook.jpg
 
Wamakonde mmekimbilia mbagala na chamazi kuuza umachinga manategenea nani awajengee mtwara yenu.

Wakuilaumu ni ccm mana mmeikumbatia sana.
 
NDO MAANA HAMWENDELEI MPAKA SASA MNAKAA KULAUMU RELI YA MWALIMU NYERERE MIAKA ZAIDI YA 40 ILIYOPITA. NYIE HAMNA AKILI KABISA.
Kuna mzee mmoja nilikutana nae alikua anamlaumu nyerere kwa matatizo ya Tanzania hadi leo. Nikagundua hawa watu wamelishwa sumu kumchukia nyerere maisha yao yote.

Nilimuuliza Malawi ni maskini je tatizo ni nyerere? Zambia, congo, Sudan, Somalia kote ni maskini je tatizo ni nyerere? Akasema hapana, basi nikamuambia matatizo ya nchi za Africa yanafanana hivyo tatizo letu si nyerere, tutafute tatizo letu halisi
 
Nyerer

Ndiyo chanzo
 
raisi Mwinyzi aliongoza miaka 10, raisi Kikwete miaka 10 na sasa raisi samia yupo ni raisi hivoo lawama ipeleke inakohusika pia, khs reli ilioendolewa ni hiyo reli iliunganisha nachingwea na bandari ya mtwara lkn ilingolewa na kwenda kutumika kuunganisha reli ya kati na tanga-moshi-arusha, yaani kuweza kusafiri kwa treni kutokea dar-moshi na arusha mpaka tanga sasa tunaweza kujadili hapo lkn kulaumu hilo kwa kushindwa kwa mtwara siyo sahihi.

plus hakuna raisi aliyefanya mengi kwa kusini yaani mtwara na hayo maeneo yake kama Mkapa ...
 
Back
Top Bottom